goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,342
Aisee we jamaa wewe. Yaani m baby anakuja home halafu anatoka hajaguswa? Ngoja ntakupa mbinu
Aisee we jamaa wewe. Yaani m baby anakuja home halafu anatoka hajaguswa? Ngoja ntakupa mbinu
Habari wana jamvi!
Najitokeza tena kwa mara nyingine kuomba ushauri kwenu.
Ni juu ya huyu workmate wangu, ni binti niliyemfukuzia kwa kumwambia maneno ya kila rangi ya utamu lakini akanichomolea.
sasa kilichofanya niombe ushauri ni kuhusu huu msimamo wake ambambao siuelewi, kila nikiaribisha kwangu anakuja ila cha ajabu nakaa nae hadi ile mida ya latenight na ananipa shida tena kumsindikiza kwake tena usiku huo ilihali kuna vibaka wengi njiani
Sasa wazoefu wa haya mambo naomba mnisaidie kwa ushauri na mawazo yenu , hivi huyu kweli anamaanisha kuwa hataki kutoa papuchi au mbwembwe tu na nifanyeje ili niweze kumbinya kwa uraini maana nilipomtongoza akatia ngumu, niliheshimu msimamo wake lakini sasa hizo mishe za kuja na kukaa kwangu mpaka night ndo zimenifanya nifufue malengo yangu tena ya kutaka kumgegeda
karibuni kwa mchango!
Mkuu soma picha haraka ukiwa nawe ndani...mtoto analembua lembua we unapiga stori za boss kafanya nini...hapo siyo ofisini!! watu wengine sijui mkoje.Wewe tu unakua mzito kusoma picha
[emoji15]Mkuu soma picha haraka ukiwa nawe ndani...mtoto analembua lembua we unapiga stori za boss kafanya nini...hapo siyo ofisini!! watu wengine sijui mkoje.
[emoji15]
Mthibitishie kwamba you love her so much( actions)Habari wana jamvi!
Najitokeza tena kwa mara nyingine kuomba ushauri kwenu.
Ni juu ya huyu workmate wangu, ni binti niliyemfukuzia kwa kumwambia maneno ya kila rangi ya utamu lakini akanichomolea.
Sasa kilichofanya niombe ushauri ni kuhusu huu msimamo wake ambao siuelewi, kila nikimkaribisha kwangu anakuja ila cha ajabu nakaa nae hadi ile mida ya latenight na ananipa shida tena kumsindikiza kwake tena usiku huo ilihali kuna vibaka wengi njiani.
Sasa wazoefu wa haya mambo naomba mnisaidie kwa ushauri na mawazo yenu , hivi huyu kweli anamaanisha kuwa hataki kutoa papuchi au mbwembwe tu na nifanyeje ili niweze kumbinya kwa ulaini maana nilipomtongoza akatia ngumu, niliheshimu msimamo wake lakini sasa hizo mishe za kuja na kukaa kwangu mpaka night ndo zimenifanya nifufue malengo yangu tena ya kutaka kumgegeda
Karibuni kwa mchango!
Mthibitishie kwamba you love her so much( actions)
Usiwe na haraka, wanawake wengine hawataki pupa, kwa sababu ukija pupa wenzake wanamwambia atakuchezea.
Maanisha basi kwamba you belong to her, sasa me nakushauri akija awe anapika kabisa.
Soon utapata matokeo. But kama humaanishi au hujamhakikishia, Bro atakukimbia.
But I can see msichana anakupenda, bado anakusanya ushahidi wa maneno yako