Nifanyeje, nimeanza biashara yangu parachichi zimeharibika

JITABOY

JF-Expert Member
Sep 2, 2013
254
35
Nimeanzisha kameza ka kuuza parachichi lakini yote yameoza na kamtaji kamekufa,zilizo oza ni zile parachichi kijani.

Naombeni ushauri.
 
Nimeanzisha kameza ka kuuza parachichi lakni yote yameoza na kamtaji kamefiamo.zilizo oza ni zle za kjani,naombeni ushauri.
pole sn. cku nyingine kuwa makini ununue nzuri tena omba ushauri kwa wazoefu wakujuze ujue zipi nzuri na zipi magumashi. ila usikate tamaa.
 
Pole sana mkuu.

Biashara ndio ilivyo, huwa ina changamoto zake, amka ulipoanguka, jikung'ute vumbi songa mbele
 
pia nawashukuru sana kwa ushauri wenu mzuri siyo siri nilikuwa nimesha anza kukta tamaa.
 
Pole sana mkuu.

Biashara ndio ilivyo, huwa ina changamoto zake, amka ulipoanguka, jikung'ute vumbi songa mbele
Asante sana mkuu nilikuwa nikate tamaa maana kila ninapogusa ni mzng2.
 
bahati mbaya hizi parachichi zilikua hazijakoma vizuri wachumaji wame purura tu na kutia kwenye viroba na kupeleka sokoni kwahiyo Joto ndio imefanya Zioze sababu ya viroba kama wangekua wanasafirisha kama nyanya ungegundua mapema kabla ya kununua maana yange Sinyaa pole biashara ni ningi TZ.... anza nyingine
 
Pole sana mkuu,kilichokutokea ni miongoni mwa changamoto za biashara.

Kama unaweza badili biashara au kama utaendelea na biashara hiyo hiyo jaribu kwenda na wataalamu na wazoefu wa hayo matunda pindi uendapo kununua mzigo mpya.
 
Anzisha bustani ya parachichi, tumia kokwa kama mbegu na maganda na sehemu ya ndani ni mbolea nzuri. Kila la heri.
You can not be serious kumshauri mtu kuna bustani ya parachichi au unadhani parachichi ni kama bilinganya.. Mparachichi ni mti km mwembe
 
You can not be serious kumshauri mtu kuna bustani ya parachichi au unadhani parachichi ni kama bilinganya.. Mparachichi ni mti km mwembe
you the serious one why don't u give him a better advise? Get a life dude, everybody is entitled to their own opinion/suggestion.
 
Pole sana mkuu.Huenda uliuziwa ambazo bado hazijakomaa.Usiogope,jaribu hata biashara nyingine.Kumbuka ndiyo changamoto hizo!
 
Back
Top Bottom