Nifanyeje ni-unlock nokia 5230

Nifanyeje ni-unlock nokia 5230

tototundu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
198
Reaction score
40
Nilinunua simu aina ya Nokia 5230 Uingereza, ila imekuwa sim-locked kwa mtandao wa 3. (Hutchison 3G UK). Nimeflash simu zaidi ya mara tatu, lakini sim-lock haitoki, wadau nisaidieni.

IMEI: 353791040895291
 
hizo ni sl3 new security aitoki kwa kuflash bali kwa kuunlock na inaitaji credit online na ni garama kidogo
 
Nilinunua simu aina ya Nokia 5230 Uingereza, ila imekuwa sim-locked kwa mtandao wa 3. (Hutchison 3G UK). Nimeflash simu zaidi ya mara tatu, lakini sim-lock haitoki, wadau nisaidieni.

IMEI: 353791040895291

tembelea http://unlock.nokiafree.org/dct4.php?phone=5230

soma maelelezo na tahadhari kwa umakini

wanasema

If you dont want to risk your phone use unokia.com ( 9 € ) where all codes are supervised and verified by our qualified technical team. Remember that if you try more than 3 times your phones will be hardlocked and will be not possible to unlock remotely by code.

CODES:
#pw+245685367223574+1#
#pw+837341555410635+2#
#pw+437747551414230+3#
#pw+395656015213242+4#
#pw+838621754573613+5#
#pw+939722252614114+6#
#pw+803751725074740+7#
To help you to solve this problems we have open again Nokia unlock codes forum. Post there any problem or question you have.

Kwa hiyo ukijaribu kunclok kwa code mara tatu ukishindwa itakuwa mpaka uende kwa wataalmu wenye cables sahihi.

Kuna hawa nadhani wanachaji unaweza kuwacheki http://www.nokunlock.com/

Naamin wataalamu wa Nokia wako kila sehemu. So jaribu randomly two of those options ikishindikana mtafute fundi umpe kitu kidogo.
 
Using the codes you can unlock your mobile because its safe for your mobile.....
Get the unlock code for your nokia mobile from this site The Unlock Spot.com , here it gives the easy methods to get the mobile unlocked..........
 
Back
Top Bottom