Subiri hadi Campylobacteriosis ianze kumtafuna ndio ataelewa, au subiri hadi Cysticercosis impige kidogo ataelewa madhara Ila akiendelea kua mbishi basi usiwe na wasiwasi maana Neurocysticercosis itampa somoJe nifanyeje aache kula hugo gudude?
Usiite vitu vitamu gududuMimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Mwisho wake ni kufutuka futuka km PIG, na ukifika stage hio jamaa wanakua washaweka kambi kwenye UBONGO wanapiga misele utazima maumivu kwa pombe kali Ila hawafi kirahisiiii, nilishawahi kua na manzi tulikua in relationship since 2008 (akiwa kiportable) akawa anapenda sana kula mdudu ilipofika 2020 alikua kifutu yaan kafutuka futuka na radha ya kumpenda ikaishia hapo
Sumu inaua.ila anachokula sio simu...rahisi sana.Kwaiyo ata kama akimuona anakunywa sumu amuache?
Ugonjwa wa PIG umeingia uko baraza la madiwani wameomba wafungiwe eneo maalum wasiachwe wanazagaa, hana tofauti na popo huyo mduduMbona maji mnakunywa na mnajua wazi nguruwe walifia humo.... Msilifupishe lile andiko.
Someni lote.
Hahaha nimependa hiyo, ..ila pombe anageweza kuacha tu.Ha ha ha nawewe bila shaka ushalishwa zile steki steki bila kujua anakulisha kimahaba.......anywei kuna vitu ni ngumu kuacha hata jamaa yangu mkewe aliahidi kuacha Pombe,baada ya Ndoa kama miezi 6 akaanza kumuomba mumewe angalau moja per day 🙁........saizi fridge linapendeza kabisa na jamaa hakuwa anakunywa saizi wote walevi
Andaa maumivu ya UBUNGOUngeoa msabato mwenzio. Kitimoto tamu. Mkuu onjapo finyango moja
Ila nyie wataalam bana [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo nyama ya nguruwe watu wanakulaga miaka na miaka ila tukiwauliuza tuonesheni walio athirika hakuna ....ila mnalishana mbuzi wakati mbuzi ukifululiza tu ndani ya mwezi madhara yake unayaona papo hapo...ila kwa sababu mmekaririshwa endeleeni kukaliliSubiri hadi Campylobacteriosis ianze kumtafuna ndio ataelewa, au subiri hadi Cysticercosis impige kidogo ataelewa madhara Ila akiendelea kua mbishi basi usiwe na wasiwasi maana Neurocysticercosis itampa somo
The tapeworm eggs hatch, but instead of developing into an adult tapeworm in the intestines, they burrow into the bloodstream as would normally occur in a pig. In a human, they often end up in the brain, forming cysts that cause a disease called neurocysticercosis. It can cause seizures, headaches and can lead to death.
Ushauri wangu: muache aendelee kula pork madhara atayaona baadae saaana
Endelea kula PiGIla nyie wataalam bana [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo nyama ya nguruwe watu wanakulaga miaka na miaka ila tukiwauliuza tuonesheni walio athirika hakuna ....ila mnalishana mbuzi wakati mbuzi ukifululiza tu ndani ya mwezi madhara yake unayaona papo hapo...ila kwa sababu mmekaririshwa endeleeni kukalili
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia achana na hugo gudude ni gubaya.
Akaniahidi kuwa ameacha, lakini kila baada ya muda kidogo namkuta tena anakula gudude.
Je nifanyeje aache kula hugo gudude?
Nakufa kwa kucheka mie dah🤣🤣...jamani mtuhurumie
kwan hiyo ni sumu hicho nikitu ambacho nihalali kwa baadh ya watyu so kama anakula means nihalali meache alee achakuingilia mambo ya watuKwaiyo ata kama akimuona anakunywa sumu amuache?
Nguruwe ana madhara mengi kuliko faida kiafya ngurue ni sumu.kwan hiyo ni sumu hicho nikitu ambacho nihalali kwa baadh ya watyu so kama anakula means nihalali meache alee achakuingilia mambo ya watu