nifanyeje kuwa civil engineer?

Siku zote mtafutaji hupata na in this world the sky is the only limit to your dreams,and you can always be what you want to be,and one thing never give up and always pray if its Gods will you wil be regardless of the obstacles,

kaka nina nia haswa kutoka moyoni
furaha yangu ni ile siku nasajiliwa na bord
 
mkuu kumbe unaweza ukamaliza civil then ukaaenda kufanya CPA?do nakuonea wivu mkuu...nami niombee nifike huko

we nae una tamaa,sa unataka kusoma kila kitu unachokisikia?malza hlo la uhandisi kwanza.
 
we nae una tamaa,sa unataka kusoma kila kitu unachokisikia?malza hlo la uhandisi kwanza.
teh teh teh.......mkuu senetor bwana nini!...apana si kwamba natamani kila kitu nashangaa tu.uwezi kuniambia kitu juu ya civil bwana we acha tu
we unanishauri vip
 
teh teh teh.......mkuu senetor bwana nini!...apana si kwamba natamani kila kitu nashangaa tu.uwezi kuniambia kitu juu ya civil bwana we acha tu
we unanishauri vip

me nakushaur ukasome ualimu mkuu.
 
Imekukuna lakini ni kweli kwamba CPA sio ngumu kiivyo, tatizo la wengiwenu mnaisoma wakati Maths. ni mamamkwe nilimaliza engineering miaka ya tisini na nikaipiga CPA kama nalia na ilikua cheap ki noma!!! ukikitaka isikusumbue kua mzuri kwenye maths. especially logic

teh! asa una unauliza hesabu kwa CtV. Hapa Math ndo home, mpaka Wahandisi wananitafta. Niwasaidie kukokotoa.
 
nenda veta soma building system mpaka grade three ukitoka hapo nenda dit ukimaliza pale upo nondo kupita mtu wa udsm.....kuhusu kurudia mitihani achana nalo....utapoteza muda wako buleee
Ucimdanganye mwenzio anataka kuwa engineer(mhandisi) sio technician (fundi) hakuna any equivalent qualification from VETA uingie direct to degree. Ukitaka kasome diploma kwenye technical college ie Chuo cha Maji or DIT then ufaulu vizuri ndo unaweza pata entry to Universities
 
teh! asa una unauliza hesabu kwa CtV. Hapa Math ndo home, mpaka Wahandisi wananitafta. Niwasaidie kukokotoa.

Du huyo muhandisi anayekutafuta kukokotoa i doubt !!!!!!!!! na maisha ya watu kama ni wa chemical ataua kwa kuoverdose kwenye chemical products, kama ni mechanical du!! magari yataua, kama ni electrical du mavitu yatalipuka na kama ni mimi FIGHTER(Civil) itakua dhahama,kutoka magorofani mpaka madaraja yanamong,onyoka.

Engineering is all about logic na maths!!!! hakuna pa kukwepa na kama ujui maths uwezi kua muhandisi!!!
 
mkuu kumbe unaweza ukamaliza civil then ukaaenda kufanya CPA?do nakuonea wivu mkuu...nami niombee nifike huko

Ndio dogo na sio tu CPA,waweza piga LAWS na mazagazaga kibao!!!alafu bana raha yake ukifikia kuitwa hivi kama mimi Eng. Fighter na kamuhuli unako du!!! sa hivi twajisomea vitu vingi kwa interest tu!!!! kwani naupenda uhandisi noma!!!
 
hongera kaka ntaku-PM kwaajili ya ufafanuzi zaid
 
Back
Top Bottom