Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Kila mtu na kipaumbele chake bhana,Sasa uboho mkubwa wa kazi gani?.Kati ya waliokurupuka ni wewe, hili tatizo likikupata hata muda wa kutafuta hela hutaupata. Ni tatizo ambazo unaweza kuwa umesimama magoti yakakosa nguvu ukaanguka hapo hapo na hata ukipelekwa hospitali unapewa diclofenac tu na dawa za kulainisha.
R.I.P braza.Kila mtu na kipaumbele chake bhana,Sasa uboho mkubwa wa kazi gani?.
Umekururpuka mkuu , kinachoongelewa ni tofauti kabisa na unachokifiria, uboho na ub.oo ni vitu viwili tofautiKila mtu na kipaumbele chake bhana,Sasa uboho mkubwa wa kazi gani?.
Si ndo kunaenda Sambamba na kuzitafuta!!.pesa huwa zinatafutwa? Au ni msemo tu, wapi pesa zinatafutiwa na kupatikana? Pesa hazitafutwi, zipo kwenye maono ya mtu kugundua fursa za kuzimiliki
Haya leta sasa utofauti wake.Umekururpuka mkuu , kinachoongelewa ni tofauti kabisa na unachokifiria, uboho na ub.oo ni vitu viwili tofauti
uboho ule ute unaopatikana ktk kiwiko au magoti. kukunja au kunyoosha viungo bila kugosheka.Haya leta sasa utofauti wake.
Wewe naye!!Kila mtu na kipaumbele chake bhana,Sasa uboho mkubwa wa kazi gani?.
Wakuu kwema? Nahitaji kuwa na uboho wakutosha ili tatizo la mifupa kusagana lisinipate kadiri umri unavyo kwenda, naombeni ushauri, ni vyakula gani nikila vitasaidia kuongeza uboho? Ahsanteni.
Tafuta pesa Mzee, Achana na ishu hizo zitakupotezea muda na pesa pia.
Kwa mujibu wa Kamusi ipi??uboho ule ute unaopatikana ktk kiwiko au magoti. kukunja au kunyoosha viungo bila kugosheka.
Hatukosagi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa kukurupuka
πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi pia nilijua ni kiba100
mwamba umenasa, tunakunasua lakini mbishi ππKwa mujibu wa Kamusi ipi??
sawa. huwa zinakusanywa. kutafuta inamaana umepotezapesa huwa zinatafutwa? Au ni msemo tu, wapi pesa zinatafutiwa na kupatikana? Pesa hazitafutwi, zipo kwenye maono ya mtu kugundua fursa za kuzimiliki