Naomba Profile Pic Yako Iwe Alama Ya Utangulizi Wangu Kwenye Hii ThreadMna umri gani?
Naomba Profile Pic Yako Iwe Alama Ya Utangulizi Wangu Kwenye Hii ThreadMna umri gani?
AiseeYameisha saizi text zote nilizomtumia kajibu nampenda sana mume wangu nae ananipenda nilitaka niwaone wanoko humu ndani wanaogombanisha mahusihano ya watu!
Unajitekenya halaf unacheka,jifariji.Yameisha saizi text zote nilizomtumia kajibu nampenda sana mume wangu nae ananipenda nilitaka niwaone wanoko humu ndani wanaogombanisha mahusihano ya watu!
low IQYameisha saizi text zote nilizomtumia kajibu nampenda sana mume wangu nae ananipenda nilitaka niwaone wanoko humu ndani wanaogombanisha mahusihano ya watu!
HayaYameisha saizi text zote nilizomtumia kajibu nampenda sana mume wangu nae ananipenda nilitaka niwaone wanoko humu ndani wanaogombanisha mahusihano ya watu!
Do you love him or not? Unampenda au haumpendi?
Kama unampenda kwa nini umetuandikia uliyotuandikia!
Kama haumpendi kwa nini unaonesha kujali!
Yameisha saizi text zote nilizomtumia kajibu nampenda sana mume wangu nae ananipenda nilitaka niwaone wanoko humu ndani wanaogombanisha mahusihano ya watu!
Hahaha.
Wanakuonea wivu. Umewaweza kabisa. Ongeza mtoto wa pili uwafunge midomo.
Women!
Fresh tu aniMwananchi unajibu swali kwa swali. Keshaghairi naona kaminimize uzi.
Habari zako za siku nyingi sana mkuu! Hongera kwa kusoma namba
Kwakweli.Naomba Profile Pic Yako Iwe Alama Ya Utangulizi Wangu Kwenye Hii Thread
Upo darasa la ngp?Yameisha saizi text zote nilizomtumia kajibu nampenda sana mume wangu nae ananipenda nilitaka niwaone wanoko humu ndani wanaogombanisha mahusihano ya watu!
Hahah hayo maswali ya kumsaidia, ikiwa akiweza kujibu kiufasaha atajua atakacho...Mwananchi unajibu swali kwa swali. Keshaghairi naona kaminimize uzi.
Habari zako za siku nyingi sana mkuu! Hongera kwa kusoma namba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yameisha saizi text zote nilizomtumia kajibu nampenda sana mume wangu nae ananipenda nilitaka niwaone wanoko humu ndani wanaogombanisha mahusihano ya watu!
Hahah hayo maswali ya kumsaidia, ikiwa akiweza kujibu kiufasaha atajua atakacho...
Habari ni nzuri tu, bila shaka nawe pia...sasa hivi nazisoma upside down baada ya kuzimaliza zikiwa upright...