Nifanyeje kuhusu huyu mwanaume

Nifanyeje kuhusu huyu mwanaume

Mimi napenda nije kuoa single maza, lakini kama ndo kwa akili ya huyu mtoa maada inaniangusha kabisa.
 
Nilichokiona kwa haraka mtoa maada anawakilisha aina fulani hivi za wanawake ambao hawana msimamo na hawajielewi na atachezewa sana.
Ova... Povu ruksa
We unashangaa kuchezewa mbona kawaida sana hata mi napenda sana icho kitu kinanipaga raha sana.wanaume wenyewe mpo wachache kwaiyo wengine lazima tuchezew wengine tuwape nafasi ya kuolewa
 
Haha sawa dada upo vzur hutaki stress na maisha
 
Huyo men naye fala.. Unawekaje picha ya chumbani kwenye status ya whatsapp
 
Ukiona amekutelekeza na una mtoto wake, ni muda wa kujitafakari.
Hasa kama hana hulka ya uhuni, basi utakuwa na mapungufu kwake. Mwanaume akichukia jambo huwa harudi nyuma na hawezi kuishi na jambo ambalo anajua litamtesa maisha yake yote.

Amini, huna nafasi kwake kabisa. Anaogopa kukueleza tu.
 
Umeandika ukweli.kabsa
 
Very true [emoji119]
 
Karbu mlango upo wazi
Nimewaambia mambo yameisha? Hamsikii
IMG_20181028_132246_518.JPG
 
Back
Top Bottom