Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 877
- 1,773
Leo kilio cha Single Father in another wayHabari za muda huu Mimi ni kijana mwenye umri wa 30+ ni baba wa watoto wawili kila mmoja na mama yake. Kutokana na hali halisi ilivyo kwenye mahusiano watu hawana hofu kabisa kwenye kuumizana mioyo kiasi kibaya sana, ila kwangu ni tofauti sana ni muoga sana kumuumiza mtu hata nikifanya uwa najiona na hatia sana kinachonijia kichwani ni kuamini yatanirudia mimi na dunia yenyewe haina huruma hata chembe kitu kilichonifanya mpaka sasa kila mwanamke ninaemtongoza uwa naenda straight kumwambia nimemtamani tu kwa one night ili hata akija nikuta na mwingine hasije leta zogo wala kuhisi kutendwa namimi mwenyewe kuwa huru zaidi. Je nachokiamini kina ukweli au mana watu wanaumizana mioyo kama wanagarantee ya kesho yao.
Jamaa mnafiki......anadai hapendi kuumiza wenzake kimapenzi huku ameshazalisha wanawake wawili na wote kawatelekezaBinafsi naamini uasherati na uzinzi ni dhambi pia ni chanzo cha mabaya.... Magonjwa, nuksi&mikosi na umasikini 😂😂
Hapana tena kwa sasa kaolewa na tangu niwe sikuwahi chepuka wala kwake sijawahi ona tatizo la uchepukaji hata kidogo kuna kisa kingine ambacho kilisababisha tukatengana na hata yeye alipo olewa si salama ni story ingine ndefu ila kupitia yeye ndiyo nimejifunza wazazi hawaachani hata.Una uhakika hujamuumiza mama mtoto wa kwanza?
Si kila aliyezalisha nakutengana katelekeza hakuna anaependa kuzaa ovyo na kila mwanamke na watoto wangu wote ninao mwenyewe wanasoma pazuri na wanafuraha zaidi.Jamaa mnafiki......anadai hapendi kuumiza wenzake kimapenzi huku ameshazalisha wanawake wawili na wote kawatelekeza