UNEMPLOYYED
Senior Member
- Jan 29, 2017
- 116
- 47
Mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita, 2016. Nilifanikiwa kusomeshwa na bibi na mama,,
Sasa nilitumia jina la Mjomba kuandikisha shule toka awali had form six,
Mzee Wangu alifariki nikiwa mdogo sana one month after birth,
Sasa nashindwa kukata cheti cha kifo cha mzee na naisi cheti cha kuzaliwa change,na cha kifo vitakuwa tofauti na majina niliyondikisha shuleni.
JE HESLB wanaweza kuninyima mkopo kisa cheti cha kuzaliwa ni tofauti na majina niliyoandikisha shuleni ya Mjomba wangu????
Msaada wakubwa