Nifanyeje ilikupata hisia za mapenzi???

asante Mungu
nilishasikia uchungu moyoni.

Basi huna tatizo kubwa.
Ukifika muda wako wa kupenda hiyo kitu utafanya mwenyewe bila kulazimishwa

miaka 25 bado mdogo, sioni kama una hatari.
Lakini zile ndoto ulishawahi pata?

duu ??? Wanaume tena?

Hapana mkuu sitamani kabisaa hata chembe ya kuliwaza hilo
 
ndio vizuri maana magonjwa mengi,wewe wito wako ni upadri!usisononeke,mungu anamipango na wewe
 
Nadhan km u mzima sekta zote hapo ni swala la mda tu,jaribu kujichanganya na wadada japo kwa kampan za outing na stories,pia uwe japo unalifikiria swala hilo na kuweka utayari wa kuwa na mdada then ipo cku automatic mwili utarespond utakapokutana na atakaeugusa mtima wako!
 
Lege, nimeenda kusoma sredi yako ya hasira.
Aisee una kitu kinakusumbua
Are you resentful?

Nakushauri uonane na daktari, mweleze kinagaubaga.
Atakupa mwongozo, kama ungekuwa Dar pale Seaclif kuna watoa ushauri
Ila wako expensive kidogo.
 
usijali, na huu mfumuko wa bei utaokoa hela nyingi sana ya mafuta, nauli, muda wa maongezi etc.
 
Hilo ni tatizo la kisaikolojia Lege na imani wanaume watakupa ushauri mzuri....
 
Potezea tu mi naona una bahati sana hasa katika kipindi hiki cha maradhi.
Ila isije ikawa una kanjia kengine ka kujiridhisha ?
 
Potezea tu mi naona una bahati sana hasa katika kipindi hiki cha maradhi.
Ila isije ikawa una kanjia kengine ka kujiridhisha ?

mkuu sina njia nyingine zaidi ya njozi nayo hutokea mara moja moja sana.

Hutokea kama nitaacha kufanya zoezi kama one week ndiyo hutokea. Nikiwa bize na zoezi hakunaga shida.
 
Babu alikuwa anasema; Ukila asali lazima utapenda asali.

Piga asali fresh afu uone utakavyo changamkia wanawake.
 
Kutamani tu bila hisia yoyote kwangu mimi ni upuuzi (wengine wako huru kufikiria vinginevyo). Naamini kabisa utatamani pale utakapo pata mwanamke anae shtua hisia zako. Focus on finding mwanamke huyo kuliko kufocus on matamanio ya mwili.
mara za mwisho ulishiriki tendo la ndoa kuna kitu kilikukera?

Mwali ! Ingependeza kama ungeiweka kwa kumuuliza ; "mara yake ya mwisho kujamiana kuna kilichokukera?"
Kwa maana kuna watu tangu wamezaliwa hadi wanakufa hawajafunga Ndoa, lakini wamejamiana si polepole.
 
asante Mungu
nilishasikia uchungu moyoni.

Basi huna tatizo kubwa.
Ukifika muda wako wa kupenda hiyo kitu utafanya mwenyewe bila kulazimishwa

miaka 25 bado mdogo, sioni kama una hatari.
Lakini zile ndoto ulishawahi pata?

Hapana huo ni umri wa kuwa baba tena wa watoto wawili au zaidi, inagawa hakuna hatari lakini sio hali ya kawaida. Nakushauri uokoke na uishi maisha ya utakatifu mpaka Mungu atakapokupa yule wa kuamsha hisia zako ili ufurahia naye maisha. Kwa YESU hakuna lisilowezekana
 
Kwanza pole sana Mkuu,

Nikiunganisha na uzi wako wa kuwa na hasira, na kama unayoyasema ni ya kweli, basi inaonekana una tatizo kubwa ambalo linasababisha hayo yote. Of course, kuna wakati mtu unakuwa na hasira au unajisikia kutaka kuwa peke yako au kutoongeleshwa na mtu yoyote lakini ikiwa kila mara au kwa muda mrefu, basi hapo kutakuwa na tatizo.

Unafanya kazi? If so, kazi yenyewe ina ma-stress? Unatumia madawa yoyote? Unavuta sigara? Unakunywa pombe? Una uhusiano mzuri na ndugu zako? Uhusiano wako wa mwisho kimapenzi uliishaje? Maisha yako ya utotoni yalikuwaje? Umelelewa na wazazi wako wote (baba na mama)? Unashiriki kwenye michezo ya aina yoyote au kufanya mazoezi? Hayo ni baadhi tuu ya maswali machache ya kujiuliza.

Whaever the cause ni bora ukamwone daktari. Inawezekana una metabolic disorder, hypoglycaemia au ni tatizo la kisaikologia tuu, lakini ni bora hilo likadhibitishwa kitaalamu.

Vitu kama hasira ni mbaya sana. Kuna watu wameshauri tafuta mwanamke lakini kwa vile unapata hasira ni bora kwanza utatue hilo tatizo. Ikiwezekana kaa mbali kabisa na wanawake. Huwezi jua. Hasira zinaweza kukufanya bila kujua kumwa-abuse (sexual abuse) huyo mwanamke, kumpiga, kudhuru mwili wake au hata kusababisha kifo na kufanya hali iwe mbaya zaidi.

Kamwona daktari atakupa direction kwa wataalamu wanaweza kukusaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom