Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 160
We una mambo kweli an umemwita hadi joanah,ha ha ha doh aya bhana
Ha ha ha ndo ana uwezo uo sio mkuuHuyo ndiye atanielewesha kama hili ni tangazo la kutafuta mchumba au la!
Yani namwachaga Mara nyingi tukionana tu tunarudiana tena sijui nifanyejeKama kwako haramu piga chini tafuta halali yako
Usijitese na kujisononesha wakati haulazimishwi
Ila angekuw mkristu ningefurah sana nampenda sanaYani namwachaga Mara nyingi tukionana tu tunarudiana tena sijui nifanyeje
Kama kwako haramu piga chini tafuta halali yako
Usijitese na kujisononesha wakati haulazimishwi
Ha ha ha upi uoUkipitia threads za karibuni za huyu mtu, kuna ujumbe anajaribu kutufikishia ila si moja kwa moja.
Tutamwelewa tu baada ya muda.
Kanipostia ndugu zake anataka kuniconnect nao yani nikiwaza,swala la, dini naishiwa nguvu.Kama kwako haramu piga chini tafuta halali yako
Usijitese na kujisononesha wakati haulazimishwi
Ila ananipenda sana naon care's zakeKanipostia ndugu zake anataka kuniconnect nao yani nikiwaza,swala la, dini naishiwa nguvu.
Amua moja bado mapema usipoteze muda wa mtu na wako piaKanipostia ndugu zake anataka kuniconnect nao yani nikiwaza,swala la, dini naishiwa nguvu.
[emoji38][emoji38][emoji38]vp tayari mama mjengo yupo au tumchukue huyuUkipitia threads za karibuni za huyu mtu, kuna ujumbe anajaribu kutufikishia ila si moja kwa moja.
Tutamwelewa tu baada ya muda.
Namtafutiaga sababu badae najidai kukasirika atapiga sana simu siku iyo hadi unamwonea huruma utaamua kupokeaKupenda nako kunahitaji shule mrembo.
Achana nae huyo mdau, tafuta wa dini yako.
Kubali tukutaftie mchumba sasaYani namwachaga Mara nyingi tukionana tu tunarudiana tena sijui nifanyeje