Aah anafanya vitu makusudically ili aonewe wivu eti. Mkimfuatilia utasikia "huyu mwanamke hanipi space"; khaaa hawana jema binadamu wengineRaha unapoambiwa baby sipendi tabia yako hii na hii....
Huku unachanganya kawivu kidogo basi burudani tupu. Unajiona yes nina mtu anaenifanya nikumbuke mipaka yangu
Ndohivo my dear, unaloona kero kwako kwa mwingine burudani... Sio uko na mtu kama huko nae vile,we chochote fanya wala hauliziAah anafanya vitu makusudically ili aonewe wivu eti. Mkimfuatilia utasikia "huyu mwanamke hanipi space"; khaaa hawana jema binadamu wengine
Aah anafanya vitu makusudically ili aonewe wivu eti. Mkimfuatilia utasikia "huyu mwanamke hanipi space"; khaaa hawana jema binadamu wengine
Hahaha me naona anamuonea tu dada wa watu, umeaga unaenda kunywa, nikikukataza ni nongwa, basi nakwambia tu "enjoy baby".Ndohivo my dear, unaloona kero kwako kwa mwingine burudani... Sio uko na mtu kama huko nae vile,we chochote fanya wala haulizi
Hapo kwenye kudekezwa ndo penyewe sasa[emoji4]Hahaha me naona anamuonea tu dada wa watu, umeaga unaenda kunywa, nikikukataza ni nongwa, basi nakwambia tu "enjoy baby".
On a serious note, baby wake huyu anapenda ufilipino, anapenda kudekezwa, so shosti ajitahidi tu kumdekeza. Kweli wanaume hawatabiriki khaaa
Mmh wanavyojishaua sasa, kujifanya makauzu kumbe wanapenda ufilipino hahahaHapo kwenye kudekezwa ndo penyewe sasa[emoji4]
Habarini ndugu zangu,
Niko tena pamoja nanyi tuelekezane zaidi.
Ninampenzi wangu kweli nampenda Ila tatizo kubwa haniamini. Ninapata wakati mgumu sana na inafkia kipindi najuta uhusiano huu.
Kwanzaa swala la simu. Mm simu yangu iko wazi masaa yote yake inapasword. Nikiwa nae anashika smu yangu mda wote mm sishiki yake kwani Najua ninawivu naogopa kukutana na nisiyoyatarajia yakaniumiza na siwezi kumuacha Ila yeye yangu anakagua Kila saa kitu kidg hata mtu kanisalmia maswali mengi sa nyingine ugomvi.
Pili Ni kwanini sihoji na sikatazi mtu outing. Mm Najua mwanaume Ni tofauti na mwanamke. Nko mbali hatuishi mkoa mmoja. Anapenda kunywa. Sasa mtu akikwambia Niko na washikaji nakunywa hapa Kuna haja ya kusema rudi home usinywe Au nipe simu niongee nao nihakikishe Au staki utoke sa hiii angali uko Mbali je akinidanganya. Na je hao rafk zake wanachukuliaje nikianza kuhoji hivo. Nikikubali sawa enjoy Naonekana sijui kucare Au Kuna mwingine nakuwa attention nae.
Kumlimit baadhi ya marafiki. Hivi mwanaume mtu mzma unaweza mpangia marafiki.? Nachojua unaweza mshauri mtu uwe macho kwa hili na hili apambanue yeye. Siku Nikiwa kwake akirudi kalewa akalala kesho anaamka anasema hii company hapana aisee anakugeuzia kibao wewe kama mwanamke unatakiwa unihimize niachane na hii company unatakiwa hata tugombane. Huna mpango na mm ndo maana unaniacha acha tu. Hivi jaman mtu mzma unaweza gombana nae kisa company Au yeye anatakiwa achuje. Najua kwa mwanamke Ni rahis mwanaume kuweka limit kwa baadhi ya marafiki mwanaume Ni ngumu. Au mm ndo sijui kutunza mume.
Eti kwa miaka mitatu niliyokaaa nae natakuwa niwe nimejua kipato chake na siulizi. Ningekuwa Najua nafatilia kinatumikaje asingekuwa anakunywa Hivi. Jaman mm nafanya kazi na yeye anafanya kazi Hivi nilazma kuweka wazi haya mambo kabla hatujaoana wala kutambulishana nyumbani. Mm sijahoji coz pia staki anihoji kwa sasa labda badae tukiridhia kuoana.
Ninaona inafkia wakati haniamini kama Niko seriously na imepelekea tunapishana sana tunapojadili hizi tofauti zetu naishia kuonekana ninamakosa mwanamke Kuna mambo Ni wajibu wangu kuyafatilia.
Hebu nsaidieni labda sielewi Ni nn natakiwa nifanye kwa mtu nilienampango wa kuishi nae. Najihis ninamadhaifu sana. Nakosa hadi ujasiri
Unajiskiaje unapokua na mtu anaekucha free iliyopitiliza eti?Mmh wanavyojishaua sasa, kujifanya makauzu kumbe wanapenda ufilipino hahaha
Vale swts, binadamu tunatofautiana mnoo, mjue mtu wako then go with the flow. Kuna mtu ukimfuatilia hivyo, jiandae kwa kibuti, humpi space. Me naamini mtu kutokukufuatilia sana, Kuna matatuUnajiskiaje unapokua na mtu anaekucha free iliyopitiliza eti?
Kipozeo hicho.Miaka mitatu wako kama mke na Mme lakini hakuna anayejua kwao.WHY????[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16]
It does make all senses!That's a mama's boy, in every sense of the phrase. Blame his up-bringing. Some of us look for our mums' kinda affection from our ladies. So if anything, you should be grateful that he sees, or rather expects his mum's in you.
Adjust your game, or he'll adjust to the next one.