mdizi 2021
Member
- May 4, 2021
- 55
- 53
Dah [emoji16]Stress huchangia mimba kuto kufunga. Sahau habari ya mimba na ufanye mapenzi kama date yako ya kwanza.
Kupata mtoto wala sio kila siku, kwanza lazima ale vyakula bora ili kuimarisha mbegu zake, sasa hyo ya kila siku mbegu zinakuwa dhaifu.Tembeza kitombo mzee, mapumziko siku akiwa period.
Alafu tumia ile style ya kifo ya mende , na dog staili.
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa ushauri wakoStress huchangia mimba kuto kufunga. Sahau habari ya mimba na ufanye mapenzi kama date yako ya kwanza.
AhsanteCha kwanza mkapime afya ya uzazi wote wawili ibainike tatizo. Ni la Ke au Me mambo mengne yatafata mkuu
nimemshauro hivyo , wazia kufika kileleni zaidi kuliko kutungisha mimba.Stress huchangia mimba kuto kufunga. Sahau habari ya mimba na ufanye mapenzi kama date yako ya kwanza.
Pole sana, nakuombea mungu akafanyd wepesi. Lakin Punyeto ni dhambi ni uzinzi kama uzinz mwingine, Rudi kwa imani yako fanya toba juu ya hiyo dhambi. Hilo litakusaidia mkuuHabarini ndugu zangu. kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.mimi mdogo wenu nimeingia kwenye ndoa mwezi wa kwanza mwaka huu,hadi sasa mimi na shemeji yenu tuna miezi 6 ya ndoa yetu...
ndani ya miezi 6 wapime afya, eboo, wacha bhana .Cha kwanza mkapime afya ya uzazi wote wawili ibainike tatizo. Ni la Ke au Me mambo mengne yatafata mkuu
Thanks mkuu mungu akubariki kwa ushauri wakoMiezi 6 tu mkuu unaanza kulalama, watu wanakaa miaka na miaka bila kupata mtoto na huwa wanapata.
Kuwa na Subira, mtoto utapata, hiyo ni Neema kutoka kwa Muumba. Muda ukifika atakujalia.