nifanyeje ajue nampenda

Hapo umemaliza kila kitu :biggrin1:
 
Unachofanya binti ni kuendelea kuumiza tu moyo wako.
Saikolojia ya mapenzi ipo hivi, kama unahisi unampenda mtu na hudhani kuna nafasi ya kuwa naye ni bora kumpotezea na kutojenga ukaribu kuliko kumuweka karibu na kukaribisha mahusiano ya kindugu.
Sababu ya dhana hiyo ni kwamba mara tu utakapoweka mahusiano ya kindugu baina yenu, uhusiano wenu lazima utaingia dosari pindi mmoja atakapoeleza nia yake ya kimapenzi.
Kitu kingine kukusaidia tu ni kwamba, mapenzi ni muunganiko wa hisia za mioyo miwili, kama umekaa na mtu miaka mitatu na hajakuonesha dalili zozote za kuvutiwa nawe kwa nini unajitaabisha?
Ina maana hakuna wanaume wengine ambao wameshawahi kukutongoza?
 
ukaenda kwa mganga?hukuliwa huko kwa mganga?

Wewe nawe, muache Mganga ajinafsi privillages za kazi yake!!!!!!!!!! Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake!!!!!!!!!!!

Tena mganga atataka akukule juu ya Kaburi ilimradi tu akutishe!!!!!!!!!!!!!!!! Pale kino wanawasingizia machangu kutumia uwanja wa millele vibaya, kumbe hata waganga ndo kiwanja chao cha nyumbani!!!!!!!!!!
 
Sasa kama wajijua siye type yake kwann unasisitiza kutaka kuwa naye? Pia umesema ana girlfriend so unataka kuwatenganisha au plan yako ni nini? Sidhan kama unampenda as u say....

Huyu anaficha ukweli....atakua kibibi ndo maana anaogopa...mpaka mtu mzima akuite mama mdogo si bure..digits zimesogea...tafuta wa umri wako wewe,achana na vi serengeti boys..
 
Nimekuonea huruma hadi nimelia.
 

Kosa kubwa ulilolifanya ni kuwa na mapenzi na mtu halafu ukajifanya eti mna urafiki wa kawaida. Hii ilimfanya akuchukulie kama ndugu na kujikuta wewe unajiweka kwenye position ya "kusubiri meli airport"!!! Utaratibu huu umekufanya umepoteze muda wa miaka 3 ukiumia na kuteseka moyo huku mwenzio akiendesha maisha yake kwa amani.

Ungeweza kutumia umwanamke wako kwa kumuonyesha kwa vitendo kuwa unampenda na siyo kumpa mazawadi na mahela mengi huku mkiendelea kuitana mama mdogo, mapenzi gani haya na madogo?!

Na kosa lingine lilikuwa kumuuliza kuwa anataka mwanamke wa aina gani, maana hii ilikufanya uji-disqualify mwenyewe na kijidharau!
Cha msingi, acha kuendelea kupoteza muda, unaweza kufanya kama lara 1 alivyokushauri ili kama kinaeleweka kieleweke na kama sivyo usiendelee kuumia moyo na kupoteza muda wako. Miaka 3 si ungekuwa na wewe umeshampata mwingine?
 
Last edited by a moderator:
Jiamin sema nae!!! hunda aka kuelewa!
 
ukimwona mtafutie timing,utashinda tu!!!.na wewe mpe hisia zako,mweleze na wewe ungependa kuwa na mtu kama yeye.!!
Mengine yatategemea mazungumzo yanaendeleaje.!!!
 
Huyu anaficha ukweli....atakua kibibi ndo maana anaogopa...mpaka mtu mzima akuite mama mdogo si bure..digits zimesogea...tafuta wa umri wako wewe,achana na vi serengeti boys..

hayo ni mawazo yako tu yeye ni 84 mimi niwa 86 unachokisema sio kwel
 
ukimweleza hisia zako na jinsi ulidhamiria kuwa nae atakuelewa
jikaze mtoto wa kike hizi ni zama za uwazi na ukweli
dhana ya kusema mwanaume ndio akuanze ishapitwa na wakati.

ushauri murua huu,

Stand for your life, stand for your love! Hakuna anayezaliwa na kujua kupenda, love is not inborn, its a learned thing!!

Vunja ukimya dada, utapata bomu ukizubaa
 
Si wote waliopata wapenzi wamepata sifa walizokua wanataka! wewe usiogope hizo sifa, kama uko makini
fuata ushauri wa toto la mjini "lara 1"
 
pole sana dada mwambie ikishindikana katafte mwingine,
Japo we real love once ila utapenda tena pengine,
Kumbuka in life huwez pata kila upendacho lazima u loose vingine..
 
hayo ni mawazo yako tu yeye ni 84 mimi niwa 86 unachokisema sio kwel

Umezunguka sana dada yangu, jaribu kumtoa moyoni, usije ukaumia zaidi! kama vipi jimwage kwenye game
kama bahati yako utapata kama sio utakosa na utapata mwengine!
 


nitume mimi nitamwambia. anakupenda pia ila naye anashindwa kusema, ukisubiri sana shauri yako chelewa chelewa........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…