Nifanye nini?

Cross your fingers and pray for a miracle....kapime tena baada ya miezi 3!
 
Hizi akili za chips mayai zijui kwa nn post zao ma-mod wanaziacha
 
Hahahaaaa! Mambo DEMBA? Vipi ushaimaliza ile issue ya kumtania shem baada ya wewe kuwasikia wazee wakibanjuana?
sasa ulivyoona imepasuka si ungestop! yaani utamu bwana unasahau hata kama kuna kifo!!
 
Last edited by a moderator:
Shetani kumpitia MTU ni uongo MTU anatumia mwezi kushawishi mke wa MTU, akikatwa eti shetwani kampitia kwani umekuwa barabara.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…