Nifanye nini?

Bado mawazo hayajakujaa vizuri, subiri siku chache kama umepata gono uanze kuitibu. Halafu usubirie miezi mitatu, ndipo hatma yako utaijua.
 

Kweli ngono tamu, kwa hiyo hapo kichww cha chini ndiyo kilikuwa kinaku-control maana ungeweza kuacha mara tu baada ya kupasuka
 

Ukiambiwa changanya na zako ( peku peku ni dangerous % tisini na kumi. )
 
Mtu ukijituliza bila ya sex unahisi nini? Unataka kufanya oa, olewa. Kila siku ooh nimefanya kondomu imepasuka ona sasa roho inakuning'inia kama kama kishada.
mkuu naona hujawahi kutembelewa na shetani ukajikuta unafanya kabla ya ndoa...

umeolewa mkuu?
 
Ukiwahi kunawa hautapata ngoma kama rahisi wa south zuma alivyosemaga,kaka kama imo imo tu!
 
Msaada kwenye tuta:
Wadau, hivi ni wapi naweza kupata vitabu vya Abunuwasi jijini Mwanza?
wakati wa akina Abunuwasi hapakuwa na ukimwi kwa hiyo hata ukikosoma hutapa jibu la kumsaidia mdau!
 
Ukiambiwa changanya na zako ( peku peku ni dangerous % tisini na kumi. )

hatari ni KIFO sio UKIMWI
mi hamniambii kitu
mtaendele kukosa vitu vitam;
kufa lazima ufe, Hofu yako inaweza kuwa Ukimwi hatari wenye kukumaliza
 
mkuu naona hujawahi kutembelewa na shetani ukajikuta unafanya kabla ya ndoa...

umeolewa mkuu?
Huyo shetani anasingiziwa tu mkuu, wazinzi wengi wanakuwa wameplani kabisa muda eneo na mengineyo.
 
Kwenu wapi nianze kukuweka kwenye ratiba ya kula pilau la msiba?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…