mhh..acha kumtisha mwenzio!kwanza kakudanganya,haya mahoteli ya kitalii hayalipi vizuri hata kidogo,yani yanalipa ule mshahara wa kima cha chini kilichopangwa na serikali kwa sekta ya huduma za kitalii.Hapo mkuu fifty fifty kama uhusiano wenu utadumu.Watu wanedna na pochi zimeshiba haswa na kama mtoto ni bomba sahau
Lah??!!
Unajua maisha ya mbugani au unayasikia tu??
Nakushauri Mrudishe na atafute kazi sehemu nyingine, la sivyo.........
kwanza kakudanganya,haya mahoteli ya kitalii hayalipi vizuri hata kidogo,yani yanalipa ule mshahara wa kima cha chini kilichopangwa na serikali kwa sekta ya huduma za kitalii.Hapo mkuu fifty fifty kama uhusiano wenu utadumu.Watu wanedna na pochi zimeshiba haswa na kama mtoto ni bomba sahau
Unamhofia yeye tu, wewe haujionei wasiwasi? Muache afanye kazi huku mnatafuta mahali pengine. Meanwhile kuonyesha unajali kiasi gani, hebu tuanze mipango ya ndoa basi.
^^
Haya mapenzi ya mbali wakati mti haujatoa matunda,,ni kama ka tangazo kadogo ka kuachana ambako hakajalipiwa
^^
Kumbe ndiye huyu alieanza kazi hapa kama wiki mbili zilizopita? Kwa jinsi wazungu wanavyokata dola hapa kwa hawa wanawake wa kiafrika, sidhani kama ndani ya mwezi mmoja atakukumbuka tena. Andika maumivu.La Haula..!! Na vile alivyo nona, ww acha tu, ndio maana nashindwa kuamua aidha nimrudishe au aendelea na kazi...?? ila ngoja ni test miezi hii miwili ya mwanzo, then nitakuwa kwenye position sahihi ya maamuzi...