Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,551
- 9,710
Asante mkuuFurahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini. Upole wenu na ujulikane na watu wote.
Nadhani hii ni sawaJichunguze tu utajua kuna kitu hakipo sawa na hii nahisi kuna kitu unakipenda umekikosa au kuna lengo hujalitimiza, something is missing.
Kama una mpenzi jaribu kufanya naye tabia mbaya angalau mara tano kwa siku. Asubuhi, mchana jioni na usiku mara mbili kisha uone kama furaha yako mnara hautapanda!Habari wana jukwaa,
Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa siku za karibuni naona nazidi kupoteza amani na furaha bila sababu. Na sina majukumu yoyote ya kutegemewa wala mawazo yoyote sijui tatizo nini.
Wajuvi wa mambo, naombeni ushauri wa kunitoa kwenye hii shida niwe na furaha na amani.
Nawasilisha.
Nashukuru kwa kunifahamisha sikuwa najua maana ya hilo jina nilichukua tuu kwa rafiki yanguId yako iko opposite na jinsi ulivo , maana kwa kabila letu Msangarufu ni mtu aliyechangamka, yaani mwenye furaha...
Ushauri wangu; Penda kufanya kitu unachokipenda mfano, kucheza mpira, kuangalia muvi, kuogelea, kuimba nk..na usipende kukaa peke ako muda mwingi, Jichanganye kitaa na wana...mi nakosaga furaha pale tu mama mwenye nyumba ananipigia nimlipe kodi yake...πππ
Hii haiwezekaniKama una mpenzi jaribu kufanya naye tabia mbaya angalau mara tano kwa siku. Asubuhi, mchana jioni na usiku mara mbili kisha uone kama furaha yako mnara hautapanda!
Nashindwa kufanya hivyoFuraha haiji tu yenyewe ni jinsi utakavyoset mind yako