Ah ah ah ah ah ah kiranga nipo nawe kijiwen huku navuta nae msubaSema shughuli unayo mzee baba huko pm utakutana na kiranga, hujamjua huyu vizuri.
Inaonyesha wewe pia una roho ya kwanini, ameshakusoma hupendi asaidie, hapo ndipo unapo mkwaza, maana unaposema anagawa tu lakini hiyo hiyo ndiyo njia Mungu anambariki nayo, kwani mmeshawahi kulala njaa?
Si uliapa utamvumilia ktk shida na raha??? vumilia sasaJaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana
Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza
Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu
...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu
Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo...
Lkn kuweka hela nimtihan mpaka mgombane Sana
Dec 21 salary imeingia 1.3 juz mpaka leo imebaki lak 7
Dec 18 Kuna Kaz alifanya pemben akapewa laki 6... Nikambembeleza tuisave kwenye ac kagoma
Nashindwa nimfanyeje jmn nimeshaongea mpaka nimechoka
Ukimwambia swala maendeleo ndan anakua mzito lkn ukimuomba hata kusuka kila wiki hana shida....yoyote atakaemwomba hela hamnyimi labda isiwepo tu....jmn nifanyeje?
hella tunapata mno mwez ukiwa vzur hata M3
Lkn hata kiwanja hatuna , fernicha ndan mpaka tukabane mashat au ninunue Mimi tu sababu nami ninakaz ...nisaidien mawazo jmn
Swali mujarabuUmeandika.haya mume.yuko wapi kwa sasa
Elezea kidogo mkuu, tukueleweTypical Bipolar disorder (manic depression)
Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana
Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza
Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu
...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu
Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo...
Lkn kuweka hela nimtihan mpaka mgombane Sana
Dec 21 salary imeingia 1.3 juz mpaka leo imebaki lak 7
Dec 18 Kuna Kaz alifanya pemben akapewa laki 6... Nikambembeleza tuisave kwenye ac kagoma
Nashindwa nimfanyeje jmn nimeshaongea mpaka nimechoka
Ukimwambia swala maendeleo ndan anakua mzito lkn ukimuomba hata kusuka kila wiki hana shida....yoyote atakaemwomba hela hamnyimi labda isiwepo tu....jmn nifanyeje?
hella tunapata mno mwez ukiwa vzur hata M3
Lkn hata kiwanja hatuna , fernicha ndan mpaka tukabane mashat au ninunue Mimi tu sababu nami ninakaz ...nisaidien mawazo jmn
Nakuunga mkono yan ww ikiwezekana mwambie hata mama anaumwa kwakwel yan unazipimia tu afu unaandaa expenses mbalilbal akikua atabadilika bado anakula maishaFanya hivi..
Muombe hela kwa ajili ya matumizi mbalimbali, NA HIZO UZIPELEKE KWENYE AKAUNTI YENU YA BENKI