Nifanye nini mume wangu abadilike?

Nifanye nini mume wangu abadilike?

Samahani dada,anamsaidia nani? Africa yetu hii ni extended family so kama yeye ndo angalau ana income anategemezi wengi hilo haaliepukiki chamsingi kama unaweza fikiria mradi then umshirikishe kuliko hilo la account.....ni sawa kuwa na kibubu ndani kuna hela tatizo likitokea utakivunja tu
 
Kwa moyo mmoja nakushauri.

"Kama roho inakuuma mumeo kutoa pesa kwa watu wengine, tafuta njia mbadala wa wewe kuzikusanya kwa siri ili utunze unachopata.

Ila kama anasaidia ndugu nawe waona anagawa, my dear atakapoacha kuwasaidi utakuwa umemfungia kipato chake.
 
Inaonyesha wewe pia una roho ya kwanini, ameshakusoma hupendi asaidie, hapo ndipo unapo mkwaza, maana unaposema anagawa tu lakini hiyo hiyo ndiyo njia Mungu anambariki nayo, kwani mmeshawahi kulala njaa?

Una uhakika kila anaemgaia anahitaji huo msaada?

Kuna mambo muhimu ya kimaendeleo yanatakiwa kufanyika ili familia iwe finacial iwe strong likitokezea tatizo lolote inasaidia.

Fikiria angekua dada ako mwenyewe anatumia nguvu zake kutunza familia alafu hela zinapatikana zinatumika kizembe.
 
Fungua account yako mwenyeo,ukipata hata ni kidogo tunza mwenyeo zitakufaa ukipata tatizo.

Kuepuka usumbufu wa kukopwa fanya ata siri asijue.
 
Jaman huyu baba/ mme ananipa mawazo Sana
Mungu sijui kampa roho ya huruma kupitiliza
Anakipato kikubwa lkn akipata hela anagawa tu
...Kila mwisho wa mwez nikugawa hela tu
Mwanzo nilitumia akil nikafungua ac ya familia nikamwambia tuwe tunasave hela na kadi nikampa kabisa akae nayo...
Lkn kuweka hela nimtihan mpaka mgombane Sana
Dec 21 salary imeingia 1.3 juz mpaka leo imebaki lak 7
Dec 18 Kuna Kaz alifanya pemben akapewa laki 6... Nikambembeleza tuisave kwenye ac kagoma
Nashindwa nimfanyeje jmn nimeshaongea mpaka nimechoka
Ukimwambia swala maendeleo ndan anakua mzito lkn ukimuomba hata kusuka kila wiki hana shida....yoyote atakaemwomba hela hamnyimi labda isiwepo tu....jmn nifanyeje?
hella tunapata mno mwez ukiwa vzur hata M3
Lkn hata kiwanja hatuna , fernicha ndan mpaka tukabane mashat au ninunue Mimi tu sababu nami ninakaz ...nisaidien mawazo jmn
Si uliapa utamvumilia ktk shida na raha??? vumilia sasa
 
TATIZO BINADAMU NI WABISHI SANA!!!
 
Mtafute mganga wake... Amezindikwa huyo..
 
Fanya hivi..
Muombe hela kwa ajili ya matumizi mbalimbali, NA HIZO UZIPELEKE KWENYE AKAUNTI YENU YA BENKI
Nakuunga mkono yan ww ikiwezekana mwambie hata mama anaumwa kwakwel yan unazipimia tu afu unaandaa expenses mbalilbal akikua atabadilika bado anakula maisha
 
Dah.. Pole dear, mimi nishashuhudia mwanaume mwenye tabia hio ndani ya Familia, mwisho wa siku waliishia kuwa maskini kwa matumizi mabaya ya mwanaume! Bahati walinunua nyumba, ndio inayowastiri now lakin Baba wa familia amekua hana mbele wala nyuma na kashazeeka.. Watu Aliowasaidia wote hakuna hata mmoja anaemkumbuka kwa chochote! Tumia akili umuombe hela mara kwa mara ununue kiwanja ujenge kisiri siri na maendeleo mengine before its too late.
 
Pole Sana Kwa Mihangaiko
Ndiyo Maisha Hayo Asilimia Kubwa Sana
Ukiwaona Watu Utawatamani Ila Huko Ndani Kuna Mengi

Vumilia Huku Mkiongea Mara Kwa Mara Kuhusu Maendeleo Hayana Chama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom