Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.
Sasa tatizo lilikuja vipi
Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam.
Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.
Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu. Yaani maneno ya kujiamini sana.
Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.
Sasa jamani nisaidieni nifanye nini ili mke wangu arudi maana nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ameniganda kweli kweli.
funzadume😂😂😂😂😂Utaelewa baadae we tulia anipe majibu, nimekaa huko nakujua kimk.undu mk.undu
Hizo ni hasira za kutokwenda nae kwenye mwaliko.Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.
Sasa tatizo lilikuja vipi
Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam.
Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.
Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu. Yaani maneno ya kujiamini sana.
Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.
Sasa jamani nisaidieni nifanye nini ili mke wangu arudi maana nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ameniganda kweli kweli.
Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.
Sasa tatizo lilikuja vipi
Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam.
Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.
Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu. Yaani maneno ya kujiamini sana.
Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.
Sasa jamani nisaidieni nifanye nini ili mke wangu arudi maana nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ameniganda kweli kweli.
Aisee... Hutaki kujua elimu yake Bali kidato alichoishia! Highest level of sarcasmUna umri gani mkuu na umeishia kidato cha ngapi?
Hebu kwenda hukoo[emoji57][emoji57]Aisee... Hutaki kujua elimu yake Bali kidato alichoishia! Highest level of sarcasm
Na pia kwenda kuhudhuria harusi ni muda mafupi sana kwa mke kukuacha ghafla.Inaonekana ulipopata mualiko wa kwenda US hukumshirikisha ipasavyo mkeo, maamuzi yalikua ni yako tu pengine ni kwa ajili ya kitete cha safari, tatizo lako si kwamba lilianza baada ya wewe kufika US bali tatizo lilianza hata kabla hujaianza safari yako.
Kuna jambo unajaribu kulificha hapa, kua muwazi usaidiwe, kitendo cha mkeo kukwambia kua 'Nimekukataa ili nikuonyeshe kua Marekani sio kitu mbele yangu" kina ashiria kua uliithamini safari yako zaidi kuliko mkeo,sasa umesharudi na akili imekurudi.
Nenda kamroge kwa masheikh wa mjini, atarudi tu.Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.
Sasa tatizo lilikuja vipi
Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam.
Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.
Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu. Yaani maneno ya kujiamini sana.
Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.
Sasa jamani nisaidieni nifanye nini ili mke wangu arudi maana nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ameniganda kweli kweli.
Na Mimi nilikuwa najiuliza,Mkuu ukishajua kua Alabama alikua sehemu gani hasa ndio itakusaidia wewe katika kumshauri kwenye hilo jambo lake?
hahaha na hilo Tambi lakoUtaelewa baadae we tulia anipe majibu, nimekaa huko nakujua kimk.undu mk.undu
Kujieleza kwenyewe sasa!!
Huyo ni mtu mmoja..Samahani...
Mbona siku hizi hamtagiani ma Smart 911??
Kama mzigo ameupiga chini aujulishe Umma tujaribu bahati zetu
Abowaitu kumbe mulimu?
huyo atakuwa anasiki wivuuu na atakuwa kapata mtu wa kumfinyaaa tayariii, swali vipi bado ana ishi kwako au??Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.
Sasa tatizo lilikuja vipi
Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam.
Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.
Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu. Yaani maneno ya kujiamini sana.
Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.
Sasa jamani nisaidieni nifanye nini ili mke wangu arudi maana nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ameniganda kweli kweli.
Mbeile ntakumanya nka oli wowaitu! Mawe banyegere