Nifanye nini kupata access ya mtandao wa X?

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
546
Reaction score
1,114
Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani.

Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa.
Ahsante.
 
Kuna muda nilidhani ni mimi peke yangu, hadi nimelazimika kuufuta kwenye simu yangu. Nilikuwa nikiona jumbe ziki pop up, nikitaka kusoma siwezi, nikaona mateso ya nini, niwe mpole, delete application ya X maisha yaende, nitafanyaje sasa nimenyimwa uhuru wa habari na wababe
 
Serikali yako sikivu ilipiga block
 
Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani.

Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa.
Ahsante.
Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani.

Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa.
Ahsante.
Hamia Burundi
 
Back
Top Bottom