AhsateWaone ofisi ya ardhi iliyo karibu nawe wakusaidie.
hapo unahitaji mkataba wamauziano ulioshuhudiwa na wakili. Kuhusu hati nenda ofisi za ardhi watakupatia utaratibuSalam ndugu zangu,
Ni mwaka wa pili Sasa toka niuziwe KIWANJA mbele ya serikali ya mtaa/ Kijiji
Naomba msaada au ushauri wa namna ya kupata Saini ya mahaka au HATI MILIKI .
Natanguliza shukrani zangu
Hapa naomba ufafanuzi kidogo ,mkataba hupo wakili hajahusishwa nifanye nini Ili nipate Saini ya wakili?hapo unahitaji mkataba wamauziano ulioshuhudiwa na wakili. Kuhusu hati nenda ofisi za ardhi watakupatia utaratibu
Ili upate sign ya Wakili,ni lazima Wakili ashuhudie hayo mauziano,huo ndiyo utaratibu! Lakini kuna mawakili vishoka wao hawashindwi na kitu chochote cha kisheria wanaweza!!Hapa naomba ufafanuzi kidogo ,mkataba hupo wakili hajahusishwa nifanye nini Ili nipate Saini ya wakili?
wakili atafika eneo latukio atawahoji majirani na kiongozi wa mtaa walioshuhudia aliyeuza anaweza kupigiwa simu au kufuatwa akahojiwa na kusign mkataba biashara imekwisha...unaenda ardhi unaomba kupimiwa eneo lako kama hapajapangwa au kupimwa mji....kama pamepimwa awali na hati ya eneo lipo na namba ya kiwanja...wakili kwa kupitia maafisa ardhi wanabadilisha umiliki na hati kwisha...Ili upate sign ya Wakili,ni lazima Wakili ashuhudie hayo mauziano,huo ndiyo utaratibu! Lakini kuna mawakili vishoka wao hawashindwi na kitu chochote cha kisheria wanaweza!!
Ahsate sana kwa ufafanuzi mzuriwakili atafika eneo latukio atawahoji majirani na kiongozi wa mtaa walioshuhudia aliyeuza anaweza kupigiwa simu au kufuatwa akahojiwa na kusign mkataba biashara imekwisha...unaenda ardhi unaomba kupimiwa eneo lako kama hapajapangwa au kupimwa mji....kama pamepimwa awali na hati ya eneo lipo na namba ya kiwanja...wakili kwa kupitia maafisa ardhi wanabadilisha umiliki na hati kwisha...
umefafanua vzuri. Kama upo Mbeya au Songwe njoo inboxAhsate sana kwa ufafanuzi mzuri