Nifanye nini kisheria?

Nifanye nini kisheria?

ms beaty

New Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Niliajiriwa erolink recruitment mwaka 2011 na kuresign mwaka 2013 lakini mpaka sasa hawajaniwekea hela zangu NNSF.Nimefatilia wananiambia nisubiri..naomba mchango wa mawazo
 
Endelea kufatilia hadi kieleweke!,hao jamaa wa NSSF,ni wasumbufu kweli!!!!.
 
Nnsf hawasumbui tatizo erolink hawajaweka hela kipindi chote
 
NSSF kuna watu wamewaajiri kwa ajili ya kumfuatilia mwajiri apeleke mafao yako. Deal na NSSF wenyewe watadeal na mwajiri wako.
 
Back
Top Bottom