Nifanye nini jamani


Kinacho kuogopesha hapo ni nn?!? au hujui matumizi ya pesa?
 
Zirudishe hizo hela sawa mtoto mzuri
 
aaaghhhh usirudishe pesa mpenzi khaaaa hiyo ni asante kwani hajakwambia???? yani naziwazia hapa angeshirikishwa huyu mama mchaga zingekuwa zishaishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…