Nifanye nini ili niache kubet?

Hahahahahaha, we jamaa mi nipo kimanga sema natembelea mitaa ya mawenzi sana hapo panapo meridian kuchukuwa gawio kwa mzungu!
Nimeona pale kabla ya Barakuda Princess ilipokuwa karibu na Coppa Cabana wanafungua nilikuwa speed sijaona vzr lazima jioni nipitie pale nikaulize vzr maana hawasumbui kulipa kabisa
 
Hahaha kubet huwa hatuachiii ila tunapumzikaaa... Mkuuu
 
Cku hizi wametuweza usipoenda betting station kuna m bet na mkeka bet yan utabet tu
 
Nimeona pale kabla ya Barakuda Princess ilipokuwa karibu na Coppa Cabana wanafungua nilikuwa speed sijaona vzr lazima jioni nipitie pale nikaulize vzr maana hawasumbui kulipa kabisa
Hahahah tuchekiane bas mkuu, tupeane tips za kula gawio! Nadhani hela za bure zipo betting tu sahivi.
 
Hili ni janga la kitaifa zaidi ya viroba kwa sasa
 
saf sana kiongoz...pamoj [emoji120]
 
Kamari ni mbaya.
Kwa wale wanaotaka kuingia huko, tafadhari sana msijaribu. Mwanzoni utaona kama ni fun. Mbele ya safari inakuwa kama duty (compulsive/pathological gambling) kucheza kamari.
Kwa uelewa wangu kamari, hasa kamari zisizo za mpira, ni aina ya pyramid scheme. They are not sustainable. Mwisho wa siku utaliwa tu.
 
Mkuu nimesoma hayo maandiko mbona akuna liliokataza kamari mm naona ww umeweka utashi wako tu nataka kama quran ilivyosema kabisa hapo hivi ulivyoleta ww ni hadithi
hujajua tasfiri ya kamali ni nn.....tafuta kwanz kisha argue[emoji35]
 
Kumbe we n mbishi-bure AYA TAJA KIFUNGU CHA BIBLIA KINACHORUHUSU KAMALI
 
Kubeti
Punyeto
Sigara

Hivi vitu ni hatari sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…