Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,646
- 4,489
- Thread starter
-
- #61
Kweli mkuu kwasababu mm sinywi pombe siendi klabu nachopenda ni kubet na watoto wazuri basiWe bet tu, ili mradi unapata ela... kila mtu anacho kitu ambacho akikifanya humpa furaha therefore hiyo ni namna yako ya kupata furaha. Kwa wenzetu wazungu ambapo bet zimetokea hiyo ni sehemu ya maisha yao na wanabet kama ww unavyoenda club kujipa furaha. akitoka job anapitia mikeka yake mitatu anaenda kwenye mapumziko na hawaweki ela ndogo.
we jipe furaha bana maisha yasogee ukiyachukulia serious yatakuwa magumu balaa.
Kusitishwa itakuwa ngumu kwasababu ata ikisitishwa tanzania mm uwa nabet kwa makampuni ya ulaya naweka dola na pia inalipa kodi kubwa sanakweli binadamu tunatofautana sana.yani mi shughuli zangu ni kubrtisha kwa miaka mingi sasa ila ni kawaida kuto toa mkeka hata mmoja ndani ya mwezi na nikiangali watu wanao nizunguka mazala waliyoyapata kwa kuendekeza kubet ni wengi mno..kipato changu napata kupitia kubetisha ila ikitoa huu mchezo ukasitishwa nitashukulu sana kwakuwa tutakua tumeokoa sehemu kubwa ya kizazi chetu.....
Kama nabet milion ata tatu naliwa mke tu si naoa mwingine walivyo wengi ata kila wiki naweza oa na wasiisheEndelea tu mkuu, mpaka siku utakapomweka rehani mke wako akiliwa ndo utaacha!
Nikiwa ofisini kwangu bet naiona hapo nje kwaiyo itakuwa ngumu kuachaUsitembee Lee kweny maeneo yamichez km iyo.fany yko
Siamini katika quran ata neno moja tuBasi ifuatishe hyo quran
nikila jeBetia kodi ya Nyumba au ada ya mwanao ikiwa huna nyingine ukiliwa utaacha
Paka sasa hiyo siyo kazi yangu nakazi lakini nikitoka kazini au natoroka naenda kubetKuwa busy na shughuli nyingine, hakika utaacha
Huku naingia kabla ata bet aijajakika ukitaka kubeti ingia jf utajikuta umeacha kubet.
2. washa kiberiti cha gesi halafu kila ukitaka kwenda kubet jiunguze iwapo huta hisi uchungu toka nenda kabeti , ukihisi uchungu usiende kubeti
Duh pole asee you're addicted lakini bet kistaarabu weka mkeka wa buku kwa sikuPaka sasa hiyo siyo kazi yangu nakazi lakini nikitoka kazini au natoroka naenda kubet
Asante mkuuMimi nakuelewa,kuna wengine hawatakuelewa. Kwa kifupi betting addiction is real. Kuna addiction za computer games pia. Naona vijana wa kizazi cha sasa wahkipata hilo tatizo, serikali iweke mkakati wa kukabiliana na hili tatizo, ikiwemo kuanzisha vituo vya kuwasaidia addicts kujirekebisha tabia zao.
Tafuta mtu unayemheshimu na anayeweza kukusikiliza na kutunza siri ya tatizo lako. Nenda karipoti kwake kila siku/wiki ukimuelezea kama umeweza kukaa bila kubet au la. Huyu mtu anaitwa sponsor.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuzarau sana utaacha kubet utaishije mkuu
Nikiweka wa buku nikila 50 elfu nitaaza kujilaumu kwenye nafsi kwann nsingeweka ata 10000Duh pole asee you're addicted lakini bet kistaarabu weka mkeka wa buku kwa siku
Kweli etikwanini uache kazi sasa...unataka ufe njaa?
Sasa mkuu nawewe utaishije mjini endapo huu mchezo ukipigwa kufurikweli binadamu tunatofautana sana.yani mi shughuli zangu ni kubrtisha kwa miaka mingi sasa ila ni kawaida kuto toa mkeka hata mmoja ndani ya mwezi na nikiangali watu wanao nizunguka mazala waliyoyapata kwa kuendekeza kubet ni wengi mno..kipato changu napata kupitia kubetisha ila ikitoa huu mchezo ukasitishwa nitashukulu sana kwakuwa tutakua tumeokoa sehemu kubwa ya kizazi chetu.....