Nifanye nini ili niache kubet?

Nimekuelewa
 
Uza nyumba alafu nenda ka-bet ukiliwa utorudia tena.
 
Unaanzaje kuacha kubeti kwa mfano? Ili usiliwe hakikisha mechi zisizidi tatu za uhakika.
 
Nilijitaidi kwa wiki moja sikubet kabisa nikawaambia watu nimeacha kila mtu alishangaa anaye nijua ila wiki sina furaha kabisa nikaenda siku moja nikaweka mkeka nikala laki 2 nilijiona kama nimekosa pesa nyingi sana nilivyo acha
Hahahah
 
Mkuu akuna mechi za uhakika dunia hii jana ata ungeniambia nibet roho ningebet chelsea anashinda ata nyumba ningeweka ila kilichotokea duuuu
inatakiwa ucheze kiasi ambacho hakiathiri maisha yako....hata ukiliwa unaona kama vile umekunywa bia tu
 
Jamani nifanye nn ili niweze kuacha kubet kwasababu mm imekuwa ni zaidi ya madawa ya makonda

We bet tu, ili mradi unapata ela... kila mtu anacho kitu ambacho akikifanya humpa furaha therefore hiyo ni namna yako ya kupata furaha. Kwa wenzetu wazungu ambapo bet zimetokea hiyo ni sehemu ya maisha yao na wanabet kama ww unavyoenda club kujipa furaha. akitoka job anapitia mikeka yake mitatu anaenda kwenye mapumziko na hawaweki ela ndogo.

we jipe furaha bana maisha yasogee ukiyachukulia serious yatakuwa magumu balaa.
 
kweli binadamu tunatofautana sana.yani mi shughuli zangu ni kubrtisha kwa miaka mingi sasa ila ni kawaida kuto toa mkeka hata mmoja ndani ya mwezi na nikiangali watu wanao nizunguka mazala waliyoyapata kwa kuendekeza kubet ni wengi mno..kipato changu napata kupitia kubetisha ila ikitoa huu mchezo ukasitishwa nitashukulu sana kwakuwa tutakua tumeokoa sehemu kubwa ya kizazi chetu.....
 
Hata unafanya kazi unajihangaisha sana na kujituma for the love of money huna tofauti na anayebet apate ela tofauti yake na wewe ni means za kutafuta
 
Mkuu yani nisipo lala na mkeka ata usingizi sipati nitaangaika sana nakuta nawakopa paka voda m pawa niweke mkeka nikiweka nitajipamatumaini kibao kesho napesa yakutosha
kika ukitaka kubeti ingia jf utajikuta umeacha kubet.
2. washa kiberiti cha gesi halafu kila ukitaka kwenda kubet jiunguze iwapo huta hisi uchungu toka nenda kabeti , ukihisi uchungu usiende kubeti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…