yani uko na akili sana ww...............................have this mwaaaaaaaaaaaaaaah!Anataka ndoa kwa maana nyingine...wasubiri nini sasa...
hilo pia lawezekanamkuu inaonesha dhahiri umeshaharibu saana ndo mana hata ka umejirekebisha hana imani hata kidogo
Kumvisha pete sio kigezo cha kuaminiwa,unavisha pete miaka inakata ya nn sasa,wengi wamevishwa na wameachwa hawakuolewa na mwingine juzi kati kaachwa baada ya send-off,cha msingi kama unampenda kweli funga naye ndoa apate haki miliki ya mume na mapenzi yenu na pia atakuamini tu!matapeli wamekuwa wengi siku hizi.
yani uko na akili sana ww...............................have this mwaaaaaaaaaaaaaaah!
kwanza mana nashangaa kwanini huyu kijana halioni hilo...
Afadhali na ww umeliona, pete tu sio ishu kbs cku hizi,mtu ukiamua funga ndoa ueleweke basi!Cantalisia umenikumbusha mbali sana...........kuna njemba alifanya madudu ya kumvisha mtoto wa watu kibati halafu akakaa miaka..............binti wa watu akaja kumshtukia.........................akadai hivi huu uchumba wa kuvishwa kibati ndiyoharusi au vipi...............alipotokea njemba ambaye yupo makini binti akamrushia njemba kibati chake akaishia na jamaa yake mpya kusikojulikana.........