NITIKE NDOSI
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 153
- 86
MKUU sipo kwa ajili ya kubishana wala kufurahisha jukwaaaHebu ambatanisha kopi ya pf3 yake.
Vinginevyo fafanua Hindu Mandal wamempokeaje mgonjwa huyo wakati hiyo ni kesi ya jinai???
NITIKE NDOSI
[KISA CHA KWELI KABISA]
Hili ni swali ambalo jamaa yangu mmoja.alikuwa akijiuliza na wakati mwingine
alikuwa akiniuliza mimi pia.
Jamaa anadai amekuwa akijitahidi sana aachane na habari za mapenzi aishi
yeye kama yeye lkn akikaa baada ya muda kidogo anajikuta anauhitaji
wa kutaka kufanya.
Kama masiala vile jamaa kaamua kuchukua maamuzi magumu, amekata filimbi
yake,na sasa yupo HINDUMANDALI anauguza jeraha
Na kusema kweli hali yake ni mbaya sana.Na kweli kama jamaa atapona
atakuwa amepata suluhisho la tatizo lake
Mwanzoni nilikuwa nahisi labda jamaa ni hasira za kutendwa,sikuipa uzito kivile!!Mtoa mada umechelewa ungeleta hii mada kabla haja nyofoa hicho kifanyio chake, huoni sasa ni too late...?
Jamaa ameshakata kifanyio basi tena ndio mapenzi amesha ya acha hivyoo..!!!
Atakua amejifunza lakn! Nadhan baada ya muda kitaota kichokonoleo kingine japo kijibamia kidogo tu, so ataweza kupiga game nyepesi nyepesi!
Bujibuji na wewe mzaliwa wa Mjini UNAWAAMINI HAWA VIJANA yaani hata magazeti ya Shigongo hayajainasa hiyo storyHebu ambatanisha kopi ya pf3 yake.
Vinginevyo fafanua Hindu Mandal wamempokeaje mgonjwa huyo wakati hiyo ni kesi ya jinai???
NITIKE NDOSI
dah.. Hasira gani izooo... huyu jamaa akiarisha wiki moja atayakata makalio yake.. ana hasira sana..