Nifanye nini biashara yangu ikue?

Hapo mkuu nimekuelewa mazima aiseee yaani hapo nimekupata daah..
Maana nayoona hapa kwangu naona kabisa kuja kujenga daaah nikaze sana an sana sana mno
 
Unanitukana mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unataka kusema niuze genge
 
Ukochomoa buku tu ushaanza kupukutika yaan hizo 10 10 siku hizi buku 10 masaa mawili mengi imeisha
 
Mkuu nilishaibiwa aiseeee an kuna mda unapata kiasi ambacho huna budi kujifungia ndani na kuanza kulia kwa kwikwi
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ndo ukubwa huo. Tukitoka nje tunacheka cheka utafikiri tuko sawa. Tukiwa pekeetu vichwa vinauma, kila muda unajifanyia kikao๐Ÿ˜‚
 
Ukuaji wa biashara yako unaenda sambamba na ukuaji binafsi wewe kama mmiliki,yaan kiwango chako cha ufahamu na maarifa.

Are you grow?

Hauwezi kwenda zaidi ya maarifa ulyonayo kuhusu unachofanya.

Mwingne akaenda mbali zaid kusema huwez kuwa zaid ya tabia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ