Nifanyaje yamenikuta!

Ulikuwa una raha wewe, yani ukiwa chuo kuna kadadaa na home pia kadadaa.... mambo ya photocopy jus 4 free....
 
Yani age yako inaonyesha bado mdogo lakini unajipa majukumu yasio na ulazima,kwanza hujipendi,pili huwapendi wote ,Kama ungewapenda usinge wagegeda bila kinga, ebu maliza kusoma achana na mambo ya wasichana wangekua watamu wala usinge wakutaa.... Ivi nikuulize kijana matangazo ya Kondom mpaka kwenye maguzo ya umeme yamebandikwaa vituo via daladala huoni?
 
kwahyo kijana ukijitambulisha unasemaje,una wake wawili,m1 mtoto wake anaitwa....,na mwingine alifariki bahat mbaya,.huna kaz,huna nyumba,sasa mtihan ni mkubwa..nmeshindwa kukusaidia,..heb hangaika kwanza mambo always hua yanajiset
 
Fata ushauri wa King'asti kwishaaaa oa wote ukizingatia umeshatest wote


Sent from Mchina
 
Last edited by a moderator:
mshauri tu.matokeo ya ubazazi wake sasa hajui afanyeje?....i feel sorry for both ladies
umri wangu hauniruhusu kushauri hili. Ngoja niwasomeni wajukuu zangu.
 

Jamani yaani hawa watoto sijui tutawafanya nini! Unaona sasa wanavyotuzunguka wanafanya mambo ya ajabu? Ila bora huyu amekuwa wazi.
 
Basi kumbe unaeza ukaoa na mwingine asijue, just go ahead!
 
Oa ambae ushazaa nae,afu uyo mwingne tafuta njia nzuri ya kumwacha kisaikolojia ili asiumie sana.Next tym uwe makini kwa uyo mkeo mana we inaonekana utaki kujua kinga au family planning ni nini.
 
me nafikiri swala hapo nikujikaza kiume nakuwaambia ukweli,haswa huyu wa chuoni ndo wakumuambia ila cha msingi wewe mfungulie kamradi flani kisha umuambie ili asione kuwa umemtenda kwa kiwango cha ugaidi maana kesho,kesho kutwa njia kuu ikiwa na ajali utakuja pata faraja huku....
 
mshauri tu.matokeo ya ubazazi wake sasa hajui afanyeje?....i feel sorry for both ladies

mwallu, bahati mbaya wapo wengi wanaioshi hivyo. Ni kuomba Mungu umpate aliyetulia, vijana wengi hawajali tena.
 
Last edited by a moderator:

kamradi pesa anazo

mwenyewe anasomeshwa!
 
yaani inasikitisha sana..halafu ni vijana wa aina hii hii ndo wanalalamika wanawake wa siku hizi hawajatulia...hapa ni kumtanguliza Mungu tu..mengine yanakatisha sana tamaa
mwallu,
bahati mbaya wapo wengi wanaioshi hivyo. Ni kuomba Mungu umpate
aliyetulia, vijana wengi hawajali tena.
 
Last edited by a moderator:
Uzinzi uufanye wewe halafu kuumiza kichwa tufanye sisi...

Ushauri wangu pekee kwako ni umrejee Mungu na kutubu dhambi zako.
 

Unamuonea gere mwenzako kapiga copy! Na hako katoto angekapataje? Watu wako kwenye ndoa zao na huo ukimwi wanaupata.
Ila daa na huyu jamaa ni hatar yani alipiga pacha za nje! Hapo fix zake kuyasolve mi simo, raha wala weye vichwa tuumize sie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…