Nikiwa kidato cha tatu nilihamia kwa mjomba aliyekuwa anakaa mjini lengo niweze kupata elimu bora, pale kwa mjomba kulikuwa na wapangaji mmojawapo alikuwa mdada ambae alitokea kuwa rafiki yangu kila nilipokuwa natoka shule aliinita ndani mwake na kunipa wakati mwingine alinipa zawadi mbalimbali ikiwemo pesa kulingana na udogo wangu niliona ni jambo la kawaida tu.
Siku moja mvua ikiwa inanyesha aliinita chumbani kwake tukiwa tunapiga story ghafula alianza kunichezea tukajikuta tumefanya kwa kitendo kile, niliumia sana kwa sababu nilimwamini yule dada kama dadangu lakini nilijikuta kila anaponiambia tufanye nakubali.
Ukawa ndio mchezo wetu hali iliyopelekea kupata mimba, ingawa hakuniambia anayo baada ya kupata mimba alihama pale na sikujua alihamia wapi kwani pindi anahama nilikuwa nyumbani likizo sikuwahi kujua alihamia wapi na hata ofisi aliyokuwa anafanyia kazi nilikuwa sijui.
Mwaka jana nilikutana na rafiki wa yule dada ndo akanipa full story ikiwemo mtoto aliyezaliwa na kwamba tunafanana na akasema amenikumbuka kwa sababu tunafanana sana mtoto huyo akaniambia baada ya yule dada kujua ana mimba alienda kwa mchumba wake(ambaye sasa ni mume wake) hivyo ikaonekana mimba ni yake.
Yule dada alinipa mawasiliano yake na sehemu anaposoma mtoto ambapo sasa hivi yupo darasa la tano na anasoma boarding nimeenda mpaka shuleni nimemuona mtoto na sikupata wakati mgumu maana niliwaambia walimu mimi mjomba wake kwa vile tunafanana nae nikaruhusiwa kumuona na kuongea nikamwambia mimi ni mjomba wake nimemwambia asimwambie mtu nimeenda kumtembelea mara nyingi tu.
Nimempigia simu huyo mwanamke tukakutana nikamwambie full story amekana akasema ni uongo sikuwahi kumpa mimba na hana mtoto mkubwa sikumwambia nimemuona mtoto maana nahofia atamtorosha kutoka kwenye shule ile.
Wakuu nitumie njia gani kumpata mtoto wangu ikitegemea kwamba kipindi nampa nilikuwa na miaka 17 sheria itanifavour.