Nifanyaje mtu anaponitukana kwenye simu?

Kwa hiyo umeona ulete huu uchafu humu?
Inaonesha wewe ndio matatizo zaidi.
 
Mbona kama mlikuwa mnatukanana? Hapo ulipomuita dumu tupu ndio uliharibu na kupoteza haki zako za kushtaki ili ulipwe ( kama ndicho unachowaza) cha pili ambacho kinasikitisha zaidi, jamaa amekuita MSE...E. na sioni popote ulipokanusha halo. Hivyo huenda anakufahamu sana ndio maana kaenda moja kwa moja kwenye cfa hyo. Mpuuzi kwan kuendelea kuomba ushauri na screenshort yko hyo kutazidi kukudhalilisha
Duh umeenda deep sana mkuu.
 
Mimi Kuna mmoja alinitukana mpaka nikabaki mdomo wazi. Alinambia Mimi natembea na mume wake.
Na huku sijawahi hata kuwa na mume wa mtu.
Niliamua tu kumblock
Anamatusi balaaa
 
Back
Top Bottom