Nifanyaje mtu anaponitukana kwenye simu?

Hiyo ni namba ya Christina Mbelwa hebu jaribu kumtumia salio kwenye tigopesa hata 100K halafu tupe mrejesho
 
Mbona kama mlikuwa mnatukanana? Hapo ulipomuita dumu tupu ndio uliharibu na kupoteza haki zako za kushtaki ili ulipwe ( kama ndicho unachowaza) cha pili ambacho kinasikitisha zaidi, jamaa amekuita MSE...E. na sioni popote ulipokanusha halo. Hivyo huenda anakufahamu sana ndio maana kaenda moja kwa moja kwenye cfa hyo. Mpuuzi kwan kuendelea kuomba ushauri na screenshort yko hyo kutazidi kukudhalilisha
 
Usijali hii ni awamu ya msukuma kakupa urahisi wa kila kitu nenda tcra onyesha msg huko utapata maelekezo aliyekutukana ataadhibiwa
 
Mbona kama mlikuwa mnatukanana? Hapo ulipomuita dumu tupu ndio uliharibu na kupoteza haki zako za kushtaki ili ulipwe ( kama ndicho unachowaza) cha pili ambacho kinasikitisha zaidi, jamaa amekuita MSE...E. na sioni popote ulipokanusha halo. Hivyo huenda anakufahamu sana ndio maana kaenda moja kwa moja kwenye cfa hyo. Mpuuzi kwan kuendelea kuomba ushauri na screenshort yko hyo kutazidi kukudhalilisha
Shukrani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom