Eng mwang'oko
Member
- Apr 14, 2013
- 40
- 8
Nna mke,nshamtolea mahari,we have one kid....i cheated her with a gar ambaye ni Mtoto wa dada ake si kama am proud vile naongea hapana ila kutokana na situation I jst found myself with that gar and we did,mke wangu akanishtukia with evidence,nkakubal,akaitwa that gar akabanwa akakubali,....isu now mke wangu akanisamehe kirahisi sana kiasi siamini with the situations....what am I suppose yo do to regain her trust back nami kuwa katika hari ya kawaida coZ now naishi kwa wasiwasi sanaa???????
Nna mke,nshamtolea mahari,we have one kid....
Wakati unafanya na huyo mtoto wa shemeji yako,ulikua unategemea nini kitokee?Usiniambie ulikua hujijui
'
Ulipomkubalia mkeo kuwa ulido ulitegemea nini?Faham hapa ulichemka sana,kitendo cha kumkubalia mkeo ulimdhihirishia udhaifu ambao utakugarimu sana
'
Mkeo atakuambia upike na uoshe vyombo siku si nyingi
'
Yatakapotokea hayo usitafute mchawi!
Pole sana subiri tu matokeo ndugu.Nna mke,nshamtolea mahari,we have one kid....i cheated her with a gar ambaye ni Mtoto wa dada ake si kama am proud vile naongea hapana ila kutokana na situation I jst found myself with that gar and we did,mke wangu akanishtukia with evidence,nkakubal,akaitwa that gar akabanwa akakubali,....isu now mke wangu akanisamehe kirahisi sana kiasi siamini with the situations....what am I suppose yo do to regain her trust back nami kuwa katika hari ya kawaida coZ now naishi kwa wasiwasi sanaa???????
Nna mke,nshamtolea mahari,we have one kid....i cheated her with a gar ambaye ni Mtoto wa dada ake si kama am proud vile naongea hapana ila kutokana na situation I jst found myself with that gar and we did,mke wangu akanishtukia with evidence,nkakubal,akaitwa that gar akabanwa akakubali,....isu now mke wangu akanisamehe kirahisi sana kiasi siamini with the situations....what am I suppose yo do to regain her trust back nami kuwa katika hari ya kawaida coZ now naishi kwa wasiwasi sanaa???????
huyu alifoji cheti hata darasani hajaingia!