adonack
Member
- May 16, 2021
- 55
- 24
- Thread starter
- #21
Inaweza ikawa na maana piaAlikuja kusimamia ujenzi babako mdog akaamua kumsomesha na ana ukaribu naye.
Basi hapo ndipo ujue jamaa alionyesha kuwa ana potential. Huenda anajiongeza anajituma kabla ya kutumwa.
Anza iba madini yake mkuu uige mazuri kutoka kwake