Hakuna siku kama ya Leo muda unaenda taratibu kama konokono.
Yani kesho tu inachukua karne kufika.
Mwamba
britanicca katuahidi atasimamisha taifa kwa kutuletea habari Kali na nyeti.
Yani tunavyopenda umbea hatuwezi subiri.
Hapa nilipo najilazimisha kulala ili masaa yaende faster lakini waapii.
Naombeni msaada nifanyeje ili kesho ifike haraka?
Kweli nimeamini umbea ni uraibu.