visagold
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 327
- 177
Habari za leo wakuu?
Mimi ni mjasiriamali nlioamua kujaribu pia na kilimo, shida yangu kubwa ilionifanya niandike uzi huu ni kupata kujua soko la zao la mpunga na bei elekezi kwa gunia la kg 100, hususani kipind hiki cha kwanzia mwez wa nane had tisa.
Asanteni sana na Mungu awabariki.