Wanabodi ninamgeni wangu anataka kwenda mziki lakini live band je siku za kawaida kwa hapa Dar niwapi pazuri kunapigwa mziki wa live kama ya kina kingkiki nakadharika?Nijulisheni tafadhali.