Nifahamishe Shule 5 Nzuri za boarding(boys) Arusha

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,249
Nataka kumuhamisha mwanangu kutoka Tengeru Boys kwenda Shule nyingine bora zaidi ya Tengeru Boys au yenye ubora sawa na Tengeru Boys....

Iwe Shule ya Boys....(Hata Mchanganyiko sio Mbaya sana kama inafaulisha)

Msisitizo: Iwe Shule ya Bweni(Boarding)

Dogo yupo form three.

Natanguliza shukrani.
 
Kwanini usitafute moshi kiongozi. Ni nyingi na nzuri pia.ushauri.wangu
 
Back
Top Bottom