Nifahamishe mengi kuhusu viumbe hawa

Nifahamishe mengi kuhusu viumbe hawa

Naren

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
691
Reaction score
429
Habari! Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kufahamu ndege hawa kisayansi. Ndege wa kwanza ni kunguru na wa pili ni 'hutu tunatotuita tundege kwa hapa DSM' naomba Infos ukianzia na scientific name na kushuka mlolongo huohuo wa taarifa mpaka sifa zao.
 
Mleta mada Weka picha tuone na tukupe data/majina yake kama unavyotaka.
 
Mleta mada Weka picha tuone na tukupe data/majina yake kama unavyotaka.
Kwa bahati mbaya kuna vitu vinanilimit kuupload picha, ila kwa description hiyo tu nadhani itakuwia urahisi kujibu, kama unaishi DSM
 
Mleta mada Weka picha tuone na tukupe data/majina yake kama unavyotaka.
efa01e77cc1155986dfd0be4c14e5635.jpg

7c17fd4b672ef57bcb8aa8b8cf8a87fd.jpg


HAOHAO!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom