nifahamishe kichina

nifahamishe kichina

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
waungwana kwa anayefaham maneno haya kwa kichina plz aniambie;
1.mungu
2.mwanamke
3.mtoto
4.rafiki
5.nyumba
 
waungwana kwa anayefaham maneno haya kwa kichina plz aniambie;
1.mungu
2.mwanamke
3.mtoto
4.rafiki
5.nyumba
kichina ni rahisi sana kutamka ila kuandika hapa iko ishu!
 
waungwana kwa anayefaham maneno haya kwa kichina plz aniambie;
1.mungu
2.mwanamke
3.mtoto
4.rafiki
5.nyumba

1.Shangdi
2.Nuren
3.Haizi
4.Pengyou
5.Fangzi

hivyo ndivyo huitwa ndugu yangu, ila kwenye kutamka itakupa shida maana kichina kina kitu wanaita "tones", kuna aina nne tofauti.
Note: hayasomeki kama tusomavyo kiswahili, karibu kwa maswali zaidi wewe na wengineo.
 
Naomba kujua M4C kwa kichina mkuu
 
hakuna kamba mkuu hili ni jukwaa huru...natumia simu kwa sasa ningekuwa mbele ya PC ningetupia na ile mijengo(chinese characters)

Ukikaa vizuri tupia basi kabisa ilituweze kuwa na reference nzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom