Nifah hii imekaaje?msaada wako plzz

Msaga sumu. Huyo siyo nifah Wa jf Mimi nakataaa mwana mabadiliko awezi kuwa hivyo anajielewa nifah huu utakuwa mkakati wa magamba kumchafua mwana mabadiliko natania
 
hahhha hha,hata mimi mwandiko wa Nifah naujua ,sio huu hahaaa
 
Amependa tumbo???
Bila Shaka aliyependwa ni le king hapo..
 
Wadada wa bar wanapenda matumbo kwa sababu kibongo bongo wenye matumbo ndio inafahamika wenye pesa.. Lazima apende tumbo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…