Msubiri mwekundu wako kama zawadi kwakuwa umewaza kama mimi ...hii haina tofauti sana na Myth of the cave ya Plato katika andiko lake la ukombozi
Natangaza rasmi kuwa
KENZY ndio mshindi na zawadi yake ni sh. Elfu kumi taslimu ya kitanzania
Shukrani za dhati kwa wote waliojaribu kushiriki na hata kusoma tuu bila kuwasahau waliotoa compliment za like
~~~Asanteni sana ~~~