Nifafanulie dr. Riwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifafanulie dr. Riwa

Discussion in 'JF Doctor' started by Shadya, Oct 26, 2011.

 1. S

  Shadya Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa yeyote anayeelewa. Mwezi uliopita nimeingia kwenye siku zangu tarehe 29, na mwezi huu nimeingia tarehe 24. Je ni tarehe gani ambayo nitaweza kupata mtoto?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Riwa njoo....
   
 3. S

  Shadya Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kweli Preta.... Mtia mkazo dear muite dr. Riwa asikie wito wako at!
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Poleni Shadya na Preta...nikuwa nakula ugali kwa dagaa for lunch, mtamu balaa!

  Shadya, ni vigumu kidogo kujua urefu wa mwezi kwa kutoa trend ya mwezi mmoja tu, kwani huwa cyle inabadilika badilika kwa siku moja mbili hivi. Tarehe 26 September mpaka 24 October ni siku 27 hivi...naamini mzunguko wako utakuwa wa siku 28. Tuanzie hapo...

  Unaanza kuhesabu tangu siku umeanza ingia hedhi...hivyo tutaanzia tarehe 24. Kwa mzunguko wa siku 28, ina maaka siku ya kati kati ya mzunguko ambapo yai linatolewa (ovulation) ni siku ya 14. Kwahiyo ukiongeza siku 14 kwenye tarehe 24 tunapata tarehe 6 ya mwezi november kuwa ndio siku utatoa yai.

  Lakini yai linaweza rutubishwa na mbegu zilizomwagwa ukeni hata siku zilizopita kabla ya yai kutoka, na pia mpaka siku 4 tangu yai litoke...so siku zako za hatari zitaanzia tarehe 3 November mpaka tarehe 10 November. Siku ambazo zina uwezekano mkubwa wa kuzaa mtoto wa kike ni tarehe 3, 4, na 5 November...na siku za uwezekano mkubwa wa kuzaa mtoto wa kiume ni tarehe 8 au 9 November.
   
 5. S

  Shadya Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  asante sana kwa kuiitikia wito nashukuru.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  DR RIWA ungeweka na Office yako ulipo
  waanze kukulipa aisee.....waje wakulipe....its high time...
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Its true the Boss...its about time teh teh teeh!
   
 8. S

  Shadya Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mh.... Riwa usidanganyike. Kushea ni moyo, hizi shukrani tunazotoa ni baraka tosha. Unaisidia jamii.
   
 9. S

  Shadya Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  boss...... Nani kakwambia upite humu? Wewe ndo Riwa.......tutakupa u Dr. Na wewe?
   
 10. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mungu pia anamlipa!
   
 11. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Isije ikawa unachukua mme wa mtu,, dr kua makiniutachuma dhambi bure. wink.
   
 12. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Code of conduct kwa madaktari inasema ni utovu wa maadili kwa daktari kuwa na uhusiano wa 'kimapenzi' na mgonjwa wake...adhabu yake unweza fungiwa leseni kutoa huduma. Halafu shadya na Preta ni dada zangu kabisa wa mndenyi, usihofu!
   
 13. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sijala dagaa yapata mwaka! Ngoja niingie jikoni nikafanye maarifa..
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  yum yum.....unapika wa Mwanza, Kigoma, Nyasa au Zanzibar......tafadhali nikaribishe......
   
 15. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimekubakizia kidogo umalizie.. dagaa zenyewe zilikuwa kidoogo..
  BB_Photo.jpg
   
Loading...