Niendelee kumtongoza au niachane nae??

Niendelee kumtongoza au niachane nae??

Muumize, mchunie kwa muda sio sms wala call, akikutafuta kwa njia yoyote chuna tu' hamadi siku amekusaka kwa miguu na kukuuliza kulikoni, mwambie umepata mrembo ana wivu balaa na unampenda kufa, mwambie kafuta majina yote ya ma she ktk simu yako na wewe umeona sawa tu kuliko kumkosa maana waliofutwa hawakuwa na faida kama yeye.
Asante Mkuu ushaur umetulia
 
Mpotezee
Kwanini uteseke kwa mtu anayekwambia ana jamaa yake?

Ila kimsingi ukiendelea kuwepo anaweza akakutunuku kama anavyojisahau na kukuita baby
mimi kaniambia ana mtu wake so nisubiri hadi mwaka kesho kutwa ndio atakubali,but saivi anaringa sana hana time na mimi , nikimuomba tuonane anadai yupo busy, je unanishauri nini
 
mimi kaniambia ana mtu wake so nisubiri hadi mwaka kesho kutwa ndio atakubali,but saivi anaringa sana hana time na mimi , nikimuomba tuonane anadai yupo busy, je unanishauri nini
Pole Mkuu, jaribu kufuata ushauri uliotolewa humu ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom