Niendelee kumtongoza au niachane nae??

Niendelee kumtongoza au niachane nae??

snayper

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
302
Reaction score
218
Habar za asubuh wakuu? bila kupoteza muda niende kwenye maada, mm ni kijana kuna mtoto mzuri namuelewa Sanaa, nimeanza harakat za kumfukuzia tangu November mwaka Jana, jibu lilikuwa ni kwamba ana mpenzi wake na wanapendana sana, alisema tuwe marafiki tu wakaida nikaona isiwe taabu nikakubali,

Kadri muda ulivyoenda tulizidi kuzoeana, mpk kuna kipindi akawa ananiambia anazinguana na mpenzi wake ananiomba ushaur, muda mwingine anajisahau ananiita bby, kiufupi akanizoea sana tukawa tunachat muda wowote hata usiku wa manane, akawa kila akinimiss ananipigia, akawa na attentions na mm sanaa,,

Basi baada ya kunizoea sana sikukata tamaa, nikaanza tena kumchombeza kuhus hisia zangu kwake Lakin aliendelea kunikazia this time anasema hana feelings kwangu, hapo ndipo naanza kukata tamaa. Huyu mtoto namkubali kinoma naomben ushauri wenu wanajamvi niendelee kukaza au nikubaliane na matokeo?? Maana ni muda sasa toka nianze kumtongoza naona kama ananipotezea muda tu
 
Huyo kakufanya wewe spare ya tairiii... Yani akiwa na mastress yake huko bwana ake kamzingua anajua kwako ndo kwa kupotezea mudaa... Achana naee yani futa na namba yake kabisaa
 
Asante Mkuu, ntajitahidi maana imekuwa taabu kweli
Hapo unalisindikiza gari la coca cola ukitarajia lianguke uokote soda. Tafuta mwingine tu au ulipofika hapo hapo mtokee tena akizingua achana nae hata urafiki usiwepo.
 
Huyo mkuu analika kimazingira, ukisema usubiri akubali mwenyewe utakesha hapo.

Tengeneza mazingira ya kumla bila yeye kujua, atajulia sehemu ya tukio, simaanishi umfosi!
Fanya kama mkuu anavosema apo jiamini
 
Huyo mkuu analika kimazingira, ukisema usubiri akubali mwenyewe utakesha hapo.
Usa
Tengeneza mazingira ya kumla bila yeye kujua, atajulia sehemu ya tukio, simaanishi umfosi!
Ushauri mzuri
 
Kuna mademu wengine hua hawatongozwi wnakuaga tu marafiki zetu halafu mwisho wa siku anajikuta tayari ameliwa na kuanza kukuita mpenzi.
Marafiki wa namna hio hata uwatongoze miaka 10 bado atakuambia tu tyr ana mtu wake na pia anampenda, hivyo mkuu nakushauri we jiongeze tu usisubirie mambo ya kupewa majibu kua tayari amekubali.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Habar za asubuh wakuu? bila kupoteza muda niende kwenye maada, mm ni kijana kuna mtoto mzuri namuelewa Sanaa, nimeanza harakat za kumfukuzia tangu November mwaka Jana, jibu lilikuwa ni kwamba ana mpenzi wake na wanapendana sana, alisema tuwe marafiki tu wakaida nikaona isiwe taabu nikakubali,

Kadri muda ulivyoenda tulizidi kuzoeana, mpk kuna kipindi akawa ananiambia anazinguana na mpenzi wake ananiomba ushaur, muda mwingine anajisahau ananiita bby, kiufupi akanizoea sana tukawa tunachat muda wowote hata usiku wa manane, akawa kila akinimiss ananipigia, akawa na attentions na mm sanaa,,

Basi baada ya kunizoea sana sikukata tamaa, nikaanza tena kumchombeza kuhus hisia zangu kwake Lakin aliendelea kunikazia this time anasema hana feelings kwangu, hapo ndipo naanza kukata tamaa. Huyu mtoto namkubali kinoma naomben ushauri wenu wanajamvi niendelee kukaza au nikubaliane na matokeo?? Maana ni muda sasa toka nianze kumtongoza naona kama ananipotezea muda tu
Piga chini mademu wa zuri na weupe wapo wengi! Kwanza ameshakuona wewe n dhaifu kwake so ni kama anakuendesha kimtindo.
 
Nenda naye hvohvo... usimtongoze tena... ye ashajiingiza mkenge ,akuite baby af uanze kutongoza... ingekuwa ni mimi mbona asaiv nshamshona vya kutosha
 
Pole sana...

Ni bora alivyokua mkweli kwamba hana hisia na wewe...

Maanake baadae angepata mtu anayempenda na kukuacha wewe unganza kusema hajatulia kumbe tatizo umelitafuta mwenyewe...

Heshimu maamuzi yake... Penzi halilazimishwi...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom