Sir kijangwa
Member
- Mar 10, 2014
- 82
- 40
Wadau nimechaguliwa UDOM EDUCATION (BED PPM) na IAA PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT nimeajiliwa, sekta elimu, ushauri Niende kozi ipi?
Mmmmmmm hapo pagumu nenda unakopenda maana hapo lugha gongano kwanza mikoa pili kozi. Yaani mm hata sijui ningekwenda sijui bungeni.Wadau nimechaguliwa UDOM EDUCATION (BED PPM)na IAA PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT nimeajiliwa,, sekta elimu, ushauri Niende kozi ipi?
Ahaa sawa mkuu nipo tanga hvo wap patanifaa zaidi? Ukizngatia npo job sekta elimuMmmmmmm hapo pagumu nenda unakopenda maana hapo lugha gongano kwanza mikoa pili kozi. Yaani mm hata sijui ningekwenda sijui bungeni.
Piga chini education wewe ni PO kuanzia leo.Wadau nimechaguliwa UDOM EDUCATION (BED PPM)na IAA PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT nimeajiliwa,, sekta elimu, ushauri Niende kozi ipi?
BED PPMWadau nimechaguliwa UDOM EDUCATION (BED PPM)na IAA PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT nimeajiliwa,, sekta elimu, ushauri Niende kozi ipi?
Umeongea Sana mkuuKachukue IAA PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT. Hii ni rahisi kutwist to another sector na ukaenda kukutana na michongo mipya, maisha mapya, watu wapya, ushindani mpya na zile pesa za hapanapale...
BED PPM usitarajie kupata mabadiliko makubwa ikiwa utarudi kwenye sector uliopo hata ikiwa utapandishwa daraja. Kumbuka hii kada imekua changamoto sana kwa watu kutusua na zaidi wengi wameingia tu kwasababu hawana namna...![]()